Msaada, kwa wakazi wa arusha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada, kwa wakazi wa arusha.

Discussion in 'Matangazo madogo' started by Jaluo_Nyeupe, Dec 11, 2011.

 1. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #1
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Natafuta sehemu wanakotengeneza mihuri (rubber stamp) isiyo ya kuchonga kwa mikono . Sehemu iwe tofauti na galaxy computers. Natanguliza shukrani.
   
 2. tobycow

  tobycow Senior Member

  #2
  Dec 11, 2011
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 130
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  nenda esami
   
 3. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #3
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  esami chuoni au kwa sehemu gani mkuu?
   
 4. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #4
  Dec 11, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,329
  Likes Received: 210
  Trophy Points: 160
  Opposite na Meat King kuna duka mimi nimetengenezewa last wk. Silikumbuki jina ila wana deal na mambo ya matangazo hasa kwenye nguo, keyholder, kofia nk. Huwezi kupotea. Ni duka la 2 au 3 kutoka Madini kabla hujafika M bank
   
 5. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #5
  Dec 11, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Panaitwa CReative STudios
   
 6. Jaluo_Nyeupe

  Jaluo_Nyeupe JF-Expert Member

  #6
  Dec 11, 2011
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 2,269
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  Asanteni wakuu, nitaenda kuwaona kesho.
   
 7. Ruhazwe JR

  Ruhazwe JR JF-Expert Member

  #7
  Dec 12, 2011
  Joined: Jan 31, 2011
  Messages: 3,414
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  mkuu kunasehemu nilipelekwa na wenyeji wangu wao alikua wanafanya window shoping ya mihuri nakumbuka tulienda mpaka maeneo flani(nilikua ni mgeni) kupita uwanja wa nanenane karibu na chuo cha uhasibu,sikumbuki panaitwaje,kazi yao ni nzuri ile mbaya na niliipenda wanatengeneza mpaka mihuri ya siri(wanaita mihuri ya moto)
  jaribu kuuliza maeneo hayo kama unaenda njiro ukisha pita eneo la nanenane kuna kituo cha daladala
   
 8. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #8
  Dec 12, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 0
  Ndi hapo hapo Creative Studios Wamehamishia ofisi zao kutoka Njiro mpaka mjini Goliondoi Road.
   
Loading...