Msaada kwa vyuo vya technology kama DIT

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
692
546
Wakuu hivi baada ya hizi post ukitaka kujiunga na chuo au collage kama DIT kwa kupitia indirect system je inawezekana na process zake zikoje Wakuu?
 
wewe si apply vyuo vya afya vya serikali NACTE moja kwa moja kwan unashida gani wakat ufaulu wako ni mzuri
 
sasa hiv watu wanaapply NACTE na sasa washafunga mfumo kwa ajili ya kutoa selection kwa entry ya mwez wa7 but watafungua tena baada ya matokeo ya form6 so huwez kwenda direct
 
Wakuu hivi baada ya hizi post ukitaka kujiunga na chuo au collage kama DIT kwa kupitia indirect system je inawezekana na process zake zikoje Wakuu?
Kwa utaratibu wa zamani direct entry lazima uwe na C zote or above kwenye PCM kwa alama zako ulitakiwa kusoma Access course kwanza lakini sasa hivi nasikia access course imefutwa so na application zote zinafanyika NACTE sio chuo, Nakushauri tembelea web ya nacte pamoja na ya vyuo vya DIT,MUST na ATC upate instructions vizuri juu ya qualifications na namna ya kuapply.
 
Back
Top Bottom