Kwa wajuz na mafundi wa sim hasa upande wa software msaada plzz.Ni tecno y3+ ina-stuck mara kwa mara
Nimejarib kufupunguza baadhi(hasa apps) nikaflash na kufanya factory reset lakin bado nzito
Inaniletea jumbe hizi
View attachment 869303View attachment 869304View attachment 869305View attachment 869306
Njia pekee ni kuiFLASH na clean rom. Imesha corrupt.Kwa wajuz na mafundi wa sim hasa upande wa software msaada plzz.
Pamoja mkuuNjia pekee ni kuiFLASH na clean rom. Imesha corrupt.
Cha kufanya kama unaweza ingia setting alaf nenda about ukaangalis BUILD NUMBER
Then download suitable ROM as per your build number.
Pia hiyo simu inaingiliana ROM na Y2 so unaweza flash ya Y2 pia.
Pia kipindi unaflash fanya usiflash PRE LOADER likitokea tatizo unaweza ua simu.
Case2: tatizo kaa hili pia linatokea kwa Y3+ nyngi na chanzo inakuA ni damaged EMMC chip. Hivyo inaweza isiflashike kabisaa au isipone kabisaaaaa.
Solution: change circuit tu.
. Wanajua.Pamoja mkuu
Thou umeongea lugha ya kitaalam sana
Sijui hawa mafund wetu wa mtaan wanajua haya
Hahahanilipata kua na tekno, ikaniletea upuuzi dizaini hii hii nikaivunjilia mbali
Tecno , Itel na Infinix ni ndugu moja . Zote ni kampuni moja kama hujui.kwan tecno nazo ni cm . natumia infinix hot s3 , huwez kuta hayo madudu ya isn't responding
Hahaaaa mamaeeeeTecno , Itel na Infinix ni ndugu moja . Zote ni kampuni moja kama hujui.
Sasa wewe wa infinix kucheka tecno ni kichekesho.
Mengine fukua googleHahaaaa mamaeeee
Nyie mnatuzingua .kila ck tu