Msaada kwa ndugu yangu mhitimu wa form 4 tafadhali!

Nywilla

JF-Expert Member
Dec 2, 2016
379
349
Ndg wanajukwaa kuna ndg yang mmoja ni mwajiriwa lakini mhitimu wa form four 2010, anataka kusoma Advanced level huku anaendelea na kaz, Je inawezekana kusoma tuition then akaenda kufanya mtihani wa six baada ya mwaka mmoja au miwili msaada tafadhali nitashukuru!.
 
Ahsante mkuu kwa kunipa matumaini je, njia ni ipi aitumie kufanya hiyo process?
 
Back
Top Bottom