Msaada: Kwa namna gani ninaweza kufanya Kazi jeshini kama muuguzi

Mkuu kwanza nikupe hongera kwa kuwa na nia ya kulitumikia jeshi, nijuavyo mm, siku hizi ili uwe mwanajeshi, police, uhamiaji, tiss, zimamoto, magereza lazima upitie jkt.....

Upige depo, six months upewe mkataba kama service man ambao uwa ni miaka miwili, then ndo utasubili neema ya kwenda popote kati ya huko nlikotaja lakin kwa wewe ambaye unahitaji kuwa TPDF itakubidi ujaribu kuonana na mshauri wa mgambo, wako halmashauri zote, uko utaeleza nia yako na kwa iyo professional yako hope utapata nafsi.

Kwa maoni yangu hata naona unri bado unakuruhusu
Umeeleza vya kutosha ndg ahsnthe kwa advice
 
Hapo unatakiwa kwenda JKT ukapige kwata kwa miezi 6, baada ya hapo watanza kuchukua watu kwa mahitaji yao.

Kila chombo cha usalama kitachukua mtu anaefit kwenye vitengo vyao.

Hila kwa awamu hii mambo yamekaza, Jkt zipo batch mbili bado azijachukuliwa na mwaka huu awajachukua wale wa kujitolea.
Ahaaaa !!!!sawa sawa
Pamoja mnooo
Nashukuru mnoo
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom