Msaada kwa mwenye uelewa wa hisa

Babarita

JF-Expert Member
Dec 14, 2011
385
126
std.
Shares Bid
Outstd.
Shares Offered
Number of
Shares Traded
Markert Cap
(TZS)
Percent of
Foreign holding​
TOL
260
260
260
260
76,302,980
2
0
0
293,473
11.04
5.84%​
TBL
2,800
2,800
2,800
2,800
4,620,000
4
0
0
1,650
825.8
66.61%​
TATEPA
0
400
0
0
0
0
0
0
0
7.14
47.60%​
TCC
0
4,100
0
0
0
0
0
0
0
410
75.00%​
SIMBA
2,400
2,400
2,400
2,400
26,640,000
7
0
0
11,100
152.81
62.50%​
SWISSPORT
0
1,700
0
0
0
0
0
0
0
61.2
60.00%​
TWIGA
2,520
2,540
2,540
2,520
606,280
2
0
0
239
457
69.25%​
DCB
0
620
0
0
0
0
0
0
0
23.9
0.01%​
NMB
1,120
1,120
1,120
1,000
22,928,000
10
0
0
20,798
560
38.33%​
KA
0
1,020
0
0
0
0
0
0
0
1526.4
N/A​
EABL
0
2,000
0
0
0
0
0
0
0
1317.96
N/A​
JHL
0
5,860
0
0
0
0
0
0
0
210.96
N/A​
KCB
0
440
0
0
0
0
0
0
0
1298.07
N/A​
CRDB
123
123
125
123
14,584,500
13
0
0
118,900
266.63
12.04%​
NMG
0
3,100
0
0
0
0
0
0
0
487.07
N/A​
ABG
0
13,160
0
0
0
0
0
0
0
5396.73
N/A​
PAL
0
470
0
0
0
0
0
0
0
91.11
34.13%​
 
Swali lako ni pana sana. Labda uligawanye uulize issue moja moja inayokutatiza!
 
Swali lako ni pana sana. Labda uligawanye uulize issue moja moja inayokutatiza!
Ninampango wa kuanza wekeza kwenye hisa ila sijajua utaratibu wa kununua na kuuza hisa unakuaje..Naomba utaratibu hasa kwa benki ya Crdb
 
Inabidi ufungue Central Depository Account kupitia a broker kama Tanzania Securities, Orbit, au Solomon to name a few. Unachohitaji ni kitambulisho halafu wao watanunua na kuuza hisa kwa niaba yako. Charges zao ni between 1.1%-2% ya thamani ya transaction.
 
mkuu utaratibu wao unakuaje na wewe utajuaje kiwango cha hisa zako
 
Utaratibu ni kwenda na kitambulisho na kujaza account opening forms. Account ikishafunguliwa unaweza kuamua kununua hisa mfano za TBL. Kama hisa moja kwa wakati huo inauzwa mfano 2,800/= kila moja na wewe unataka hisa 100 basi itacost 2,800X100= 280,000/= plus commission ya broker wako. Same process ukitaka kuuza. Nakushauri utemebelee Stock Brokers in Tanzania|Online Share Trading| Investment Advisers||Online Securities Trading na Home | Tanzania Securities Limited wameeleza vizuri pia unaweza jifunza market conditions ya bongo kwa kuperuz reports na commentaries.
 
Kuna hisa za kampuni nyingi (mfano TBL, TOL, Sigara, Cement Tanga, Cement Twiga, Dahaco, CRDB, NMB, nk). Ni changamoto kujua/kuchagua kampuni ambazo hisa zake zitaendelea kufanya vizuri huko mbele - na hasa kwa mwekezaji wa mara ya kwanza. Ukizungumza na wawekezaji wazoefu na mawakala itasaidia sana.

Lakini pia kwa kusambaza risk watu hununua vipande vya UTT ambayo huwekeza pesa zako na za wengine katika hisa mbalimbali, katika mabenki, na kwingineko.
 
Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu vipande vya UTT
 
Utaratibu ni kwenda na kitambulisho na kujaza account opening forms. Account ikishafunguliwa unaweza kuamua kununua hisa mfano za TBL. Kama hisa moja kwa wakati huo inauzwa mfano 2,800/= kila moja na wewe unataka hisa 100 basi itacost 2,800X100= 280,000/= plus commission ya broker wako. Same process ukitaka kuuza. Nakushauri utemebelee Stock Brokers in Tanzania|Online Share Trading| Investment Advisers||Online Securities Trading na Home | Tanzania Securities Limited wameeleza vizuri pia unaweza jifunza market conditions ya bongo kwa kuperuz reports na commentaries.

Asante kwa taarifa ila bado nina tatizo,napenda kuwekeza katika benki ya crdb ila sijajua vizuri ninafaidikaje na hisa zangu ntazowekeza
 
Mkuu, kama No Limit, alivyo jitahidi kukuelezea,
Lazima upate wakala (Broker), alafu akuandikishe kama mwanahisa yeye akiwa muwakilishi wako sokoni DSE, atakununulia hizo hisa za CRDB kwa bei iliyopo sasa, na yeye atakueleza anatoza kiasi gani kwa hisa moja kama kamisheni yake kwa uwakala. Utanunua na kuuza hisa zako kupitia wakala wako bila matatizo.
 
Mkuu naomba ufafanuzi kuhusu vipande vya UTT

Utt ni mfuko wa uwezekaji wa pamoja. Unaendeshwa kitaalamu sana. Kama nilivyosema wanawekeza katika hisa za aina nyingi, katika bonds mbalimbali, katika amana za benki, nk. Ina maana ukinunua vipande pesa yako inawekezwa kote huko. Hivyo baadhi ya biashara walikowekeza hata zikipata hasara, biashara zingine nyingi zinapata faida. Kwa uzoefu wangu wa mfuko wao Jikimu kwa mfano, faida wanayogawa haipungui 10% kwa mwaka.

Ni wazi uwekezaji moja kwa moja kwenye hisa za makampuni unaweza kukulipa zaidi sana, au pungufu sana au hata sifuri. Ndiyo risk yenyewe.
 
Back
Top Bottom