Msaada kwa mwenye kufahamu jambo hili

Yasin Yahya

Member
Jan 18, 2013
33
0
Eti kana mtu amefanya mtihani akapata IV 27,akaamua kurudia mtihani ili kutafuta crdt zilizo baki.Lakini baada ya kurudia mtihani akawa amefanya vibaya.
Je?anaweza kutumia cheti chake cha kwanza kwa mfano katika kuapply chu0 au
 
Naona leo umeandika kistaarabu ,manake jana ulikua unatumia namba 3 kama irabu e!

Kimsingi ni kwamba cheti ulichofaulu zaidi ndicho hutumika!!

Pili,ulitakiwa useme hiyo div4.27 umepata alama zipi kila somo ili tukupe ushauri wa kufanya kwan kuna alama nyingine unaweza kusoma chuo na kutolazimika kurisiti!!
 
Back
Top Bottom