Msaada kwa mtoto anayetapika na kuharisha

Mtoto wa Baba

JF-Expert Member
Sep 1, 2018
3,121
4,017
Nimeona nije huku kwa great thinkers Huenda nikapata mawazo mawili matatu.
Mtoto wangu wa mwaka na miezi mitano anaharisha na kutapika leo ni siku ya Tatu. Anapata choo chenye rangi ya njano hivi na ambacho ni maji maji sana. Alivyoanza hiyo juz nilimpeleka hospital akapimwa typhoid hakuwz nayo. Tulishindwa kupata choo chake na mkojo hivyo haikuwezekana kupimwa choo.. doctor akaniandikia tu dawa akaniambia ni kwa ajili ya tumbo na kuzuia kutapika.
Sasa tangu nimeanza kumpa dawa sion mabadiliko, bado mtoto anatapika tu na kuharisha. Halafu pia hana humu ya kula lakin tumbo lake limejaa Muda wote kama vile ameshiba sana. Hata akienda choo halipungui.
Naombeni msaada kwa anayefahamu dawa hata kama ni ya kienyeji, aniambie tu, unaweza nipa mawazo mapya pia, ushauri nifanyeje maana mwanangu amechoka sana. Maji ya kunywa anakunywa mengi tu na kunyonya pia ananyonya vizuri. Mniwie Radhi kama uandishi wangu ni mbovu, nimeandika haraka haraka sana

Ahsanteni.
 
mkuu upo wapi fanya haraka
nenda hosptri kubwa ya wilaya au mkoa
huyo mtoto anatakiwa alazwe huku anapewa tiba chini ya madaktari
hiyo hali kwa mtoto ni hatari sana
na
pia Anza kumkologea maji ORAL hivi sasa muda huu tafuta hii na kama unaweza kupata maji ya madafu nazi mnyeshe

images%20(27).jpg
 
View attachment 1923560
Nashukuru sana kwa ushauri mkuu..ngoja nikaitafute hii ORAL REHYDRATION SALTS nianze kumpa..daktari pia aliniambia nimpe juice ya chungwa yenye chumvi kidogo. Maji ya madafu huku ndio hatujawahi yaona.
 
Nimeona nije huku kwa great thinkers Huenda nikapata mawazo mawili matatu.
Mtoto wangu wa mwaka na miezi mitano anaharisha na kutapika leo ni siku ya Tatu. Anapata choo chenye rangi ya njano hivi na ambacho ni maji maji sana. Alivyoanza hiyo juz nilimpeleka hospital akapimwa typhoid hakuwz nayo. Tulishindwa kupata choo chake na mkojo hivyo haikuwezekana kupimwa choo.. doctor akaniandikia tu dawa akaniambia ni kwa ajili ya tumbo na kuzuia kutapika.
Sasa tangu nimeanza kumpa dawa sion mabadiliko, bado mtoto anatapika tu na kuharisha. Halafu pia hana humu ya kula lakin tumbo lake limejaa Muda wote kama vile ameshiba sana. Hata akienda choo halipungui.
Naombeni msaada kwa anayefahamu dawa hata kama ni ya kienyeji, aniambie tu, unaweza nipa mawazo mapya pia, ushauri nifanyeje maana mwanangu amechoka sana. Maji ya kunywa anakunywa mengi tu na kunyonya pia ananyonya vizuri. Mniwie Radhi kama uandishi wangu ni mbovu, nimeandika haraka haraka sana

Ahsanteni.
Anastahili kulazwa siyo kukaa naye nyumbani. Nina mapacha wa miaka miwili walikuwa na homa kama hiyo ya mtoto wako, alianza mmoja akafata mwingine. Tulikaa hosp ya wilaya siku tano ile ward ya watoto wenye matatizo ya kuhara walikuwa wanakufa kwelikweli, nimeshujudia kwa macho yangu. Nikawahamisha wanangu bila ruhusa ya daktari nikawapeleka hospital ya rufaa. Ndani ya siku 3 wakaruhusiwa. Rafiki yake wife yeye alikuwa na twins amempoteza m1 kipindi hichohicho. Nadhani wakifika umri flani wanapatwa na tatizo hilo, nahisi ni reaction ya machanjo wanayochomwa.
 
Ahsante kwa ushauri mkuu

Alipata nafuu juzi jumapili na jana leo ameanza tena , nimewasiliana na daktari aliyemhudumia kule hospital kuna dawa ameniambia ninunue lakin mm kesho naenda hospital nyingine.
Watu wananiambia ni meno yanaota ila mimi ndio sielewi mechanism behind kuota meno na kutapika na kuharisha
 
Back
Top Bottom