Msaada kwa Moderm hii ya Voda

mfukoz

Member
Aug 11, 2011
35
4
Habari wana Jf,okay mimi nimenunua moderm​ ya voda,sasa nilichokuwa naomba kwa wataalamu ama wanaofahamu jinsi yakufanya ili uweze kutumia moderm hii kwa mitandao yote kwa maana nyingine jinsi ya kuchakachua hii moderminawezekana sio fair but mnisaidia kwa hilo tu nawasilisha.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom