Ndugu mpaka saiv hakijulikan kinachoendelea hapa chuon...maana kabla hujafanyiwa registration lazima uoneshe risit ya benk kuonesha kama umelipa...ntakupa taarifa zaidi ya kinachoendelea
wana JF mlochaguliwa UDSM naomben mnijuze kinachoendelea huko, hasa kuhusu waliokosa mkopo.
sa we utakuja lini?
natakanije kesho mkuu. nimeona kuna kijana ulimpokea ambae hakua na mkopo, vp anaendeleaje?
Dah,lets cross our fingers wakuu.Kama kuna maelezo zaidi tuwekee hapa mkuu thanks kwa hiyo info.yule kijana bado niko nae,2meenda bodi wame2pa hopes kwamba kabla ya j3 kuna majina mengne yataongezwa,so ndo 2nasubiria hapa.
yule kijana bado niko nae,2meenda bodi wame2pa hopes kwamba kabla ya j3 kuna majina mengne yataongezwa,so ndo 2nasubiria hapa.