Msaada kwa mangi

BA-MUSHKA

Member
Nov 22, 2010
66
0
Habari wanajamvi, Miaka 6 nimefuatilia hati ya kiwanja changu wizarani bila mafanikio,nimetumia pesa nyingi,kipo Iringa
 

Lutala

JF-Expert Member
Jun 17, 2010
848
250
So what? Acha kukurupuka, jenga hoja ili usaidiwe. kwa tabia yako ndo mana miaka 6 hujapata kitu.
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom