Msaada kwa huyu dada

.....nahisi kunatatizo ila huyo mke nae amefanya nini kuhusu hilo,ameongea na mwenziwe?ndugu zake?au nae alikuwa atafuta sababu ya kumwacha maana naona anakimbilia hilo tu wakati yupo ndani ya ndoa miaka 11!!!sio kirahisi kiasi hicho,bado kuna nafasi ya kutatua hilo yeye mwenyewe..!!mpe hizi salamu zangu mjomba
 
hili suala liko kwenye familia na lilianza kitambo kidogo na jamaa kuna vikao anakwepa ..

kama issue yenyewe haijatoka kwenye family levels sasa sie tunachangia nini?....waambie waende kwa mabestman wao then mshenga then kwa wazazi wa pandezote wapige kikao jibu litapatikana tuu...

usisahau kumwambia CHOCHOTE KINACHOMTOKEA MTU DUNIANI KINAKUWA KIMEANZA NA YEYE..ACHITAZAME VIZURI YEYE NDIO CHANZO
 
huyu dada anatafuta ushauri kwani hili suala wakati linaendelea yeye aweze kukabiliana nalo maana anadai mwanaume kun vikao kama viwili kaingia mitini ..
 
Hapo kuna siri nyuma ya pazia hasa kwa huyo mwanaume, inabidi usikilize na upande wa mwanaume nae anasemaje.
 
huyu dada anatafuta ushauri kwani hili suala wakati linaendelea yeye aweze kukabiliana nalo maana anadai mwanaume kun vikao kama viwili kaingia mitini ..
Hapo jamaa atakuwa ndio mwenye matatizo, huyo dada ajifikirie mara mbilimbili kama aendelee na hiyo ndoa au la.
 
jamani wanaume wengine ila hatuwezi jua labda ipo sababu kwa nn mtu ageuke kiasi hicho
 
yawezekan huyo jamaa alishafunga kizazi bila kumwambia mkewe,kuonna hiyo mimba ndio kumemchanganya....habari ya asubuhi lakini..

Nilikua nakifikiria hiki kisa sipati jibu, baada ya hii post yako akili imeakaa vizuri kidogo inawezekana kabisa haya uyasemayo mkuu
 
mkuu tatizo wengi hupenda kuonyesha wamekosewa kuliko kukosea

Hebu muulize vizuri huyo bidada, ana uhakika hiyo mimba ni ya mumewe? na ana uhakika hana kidumu nje huko? maana wamama nao kwa vidumu siku hizi, isijekua kampakazia hiyo mimba mumewe
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom