KumekuchaaaHaya mmeanza sasa
Unahisi baada ya Dr kukuandikia dawa inamaana anakuwa hajui side effects za hiyo dawa husika? Hajui drug limit?
Kila Dr amesoma Pharmacology, na amesoma pharmacodynamic na pharmacokinetics sijui unamzungumzia Dr yupi!Sio kwamba ninahisi bali ndio ukweli wenyewe, daktari hapaswi kutoa maelekezo ya kutumia dawa haijalishi anajua ama hajui.
Sasa ona huyo mwenzako kamwambia dada wa watu ameze double badala ya kubadilishia dawa. Angekutana na mfamasia asingeweza fanya huo upuuzi.
We jamaa sijui tatizo lako nini... tufanye umeshinda.Kila Dr amesoma Pharmacology, na amesoma pharmacodynamic na pharmacokinetics sijui unamzungumzia Dr yupi!
Nafikiri suala hapa ni kwamba kila mtu anapoandikiwa dawa ni lazima ajue mechanism ya dawa na kwanini amemuandikia na si kusema au kuzuia anachokisema Dr.
Pole dear mwamini Mungu utapona jaribu na dawa za asili.Namshukuru mungu naendelea vzuri kbsa japo dose iliisha na sikupona vizuri ila nilitumia na majani ya mstafel niko poa sasa
Ukikosa mtoto nitafuteNamshukuru mungu naendelea vzuri kbsa japo dose iliisha na sikupona vizuri ila nilitumia na majani ya mstafel niko poa sasa
Siyo kwamba nimeshinda hatushindani humu, huu uzi unasomwa na jamii ya watu wengi na ndio maana tunashauri kabla ya kuandika rudia mara nyingi kusoma unachokiandikaWe jamaa sijui tatizo lako nini... tufanye umeshinda.
Je umeolewa? Unaishi na mwanaume au upo kwenye mahusiano na mtu ambaye upo mbali naye? Umetafuta mtoto kwa muda gani sasa..? Una miaka mingapi ya ndoa/mahusiano? Au upo single ila ndo unahitaji kupata mtoto? Nijibu apo nijue nakusaidiaje.Duh me inanichanganya kichwa kabla ya kutimiza lengo yenyewe inaniweka kwa hatari nafikia stage nachoka maan hyo mtoto naye anionei ata huruma kumtafuta kote ukoo still bado ataki kujitokeza inauma