msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by mountana, Oct 4, 2012.

 1. mountana

  mountana Member

  #1
  Oct 4, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?
   
 2. B

  Babu mchumi Member

  #2
  Oct 5, 2012
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 62
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 15
  nimesikia sikia wiki ijayo kuna majina yataaachiwa,ngoja tusikilizie tuone!!
   
 3. A

  Awadh Mabaraza Member

  #3
  Oct 5, 2012
  Joined: Aug 7, 2012
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wezi 2 wale jamaa kwan nina hamu nae!
   
 4. mountana

  mountana Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 24, 2012
  Messages: 26
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 5
  aya bwana wasije wakawa wamekula buku 30 za wa2 bure 2xubir 2one
   
 5. k

  kehesa maro Member

  #5
  Oct 8, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nachojua hili suala nilisikia lazima majina yapelekwe vyuon kwa uhakiki ndio yatolewe,ila vyuo vimechelewa kulfanyiakaz
   
 6. c

  chalema06 Member

  #6
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 12, 2012
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  jaman hawa wana2zingua, ani cjui hata kama wata2pa hawa coz wapo kimyaa tuu hawa2p info yoyote.
   
 7. Wi-Fi

  Wi-Fi JF-Expert Member

  #7
  Oct 8, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 2,070
  Likes Received: 748
  Trophy Points: 280


  ukiwa huku JF andika herufi zote usomeke vizuri na watu wote, huenda mwenye kujua hajakuelewa unaulizia nini! ni mtazamo tu..
   
 8. paul kitereja

  paul kitereja JF-Expert Member

  #8
  Oct 9, 2012
  Joined: Jun 15, 2012
  Messages: 264
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  loan board ni wezi a.k.a mafisadi!!
   
 9. Simolunda

  Simolunda JF-Expert Member

  #9
  Oct 9, 2012
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 452
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Jaman tusubilie tuwe na uvumilivu kama tulivyo vumilia kuishi mwaka wa kwanza bila boom.wata leta tu haki ya mtu haipotei
   
 10. BUMIJA

  BUMIJA JF-Expert Member

  #10
  Oct 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2011
  Messages: 2,661
  Likes Received: 459
  Trophy Points: 180
  My God help you;;;;;Im Sad
   
Loading...