Msaada kwa Familia ya Marehemu Waziri wa Zamani wa Nje wa Malawi, Kanyama Chiume

Apr 27, 2006
26,584
10,389
It is with deep regret and sorrow that we have to inform friends and the wider Pan-African community that our father M.W. Kanyama Chiume passed away peacefully last Wednesday, November 21, 2007, in New York City.

A service to celebrate Kanyama Chiume's life will be held this Saturday November 24th, 2007 at Flynn Memorial Home, 1652 Central Park Avenue, Yonkers, NY 10710 at 2pm.
To get directions to Saturday memorial service Click here
Funeral arrangements to Lilongwe, Malawi and Dar es Salaam, Tanzania are still being finalized.

As part of our African tradition, and for those who are able to send their kind contributions to the grieving family, a special account has been created for this purpose:

Bank of America
Accounts #: 483-011-631-205
Routing #: 021-000-322


If you would like to visit the family during the mourning period, the gathering is at the residence of their aunt, Leah Semguruka, at 33 Tennyson St, Hartsdale, NY 10530 (go to Yahoo! Maps for driving directions). An online memorial has been created by the family in loving memory of Kanyama Chiume, whose life story is told throughout this website Please sign Kanyama's Guestbook and let us know you came to visit.

For further information, please contact:

New York, USA:
Michael (Kwacha) Chiume (son), Tel. 1-646-662-6999, email: kwachac@aol.com
Nathan Chiume (son), Tel. 1-646-552-6347, email: nchiume@hotmail.com

Lilongwe, Malawi:
Ephraim Kadokera Chiume (cousin), Tel 011-265-8824-797, email: chiume@malawi.net

Dar es Salaam, Tanzania:
Tasokwa Chiume (son) Tel. 011-255-784-156730, email: planckscale@hotmail.com
William Mpambika Chiume (son), Tel. 011-255-787-118815, email: mpambika@gmail.com
Eunice Mongi-Chiume (daughter-in-law) Tel. 011-255-756-140153, email: echiume@gmail.com

We thank you for your kind messages of comfort and support during this difficult time for us.
The Chiume family.

Ujumbe kutoka familia ya Chiume
Familia ya Bwana Chiume inasikitika kuwatangazia msiba wa mpendwa baba yao Marehemu Mzee Kanyama CHIUME (78) uliotokea juzi tarehe 21 Novemba 2007 hapa NewYork. Mipango ya kusafirisha mwili wa marehemu kwenda Dar es Salaam, Tanzania na Lilongwe, Malawi inaendelea.

Heshima za mwisho hapa NYC zitakuwa kesho siku ya Jumamosi Novemba 24, 2007 na zitafanyika kuanzia saa 8 mchana mpaka saa 11 jioni, ikifuatiwa na misa saa 11 mpaka 12 jioni. Anuani ni: Flynn Memorial Home, 1652 Central Park Avenue, Yonkers, NY 10710.
bofya hapa kujua jinsi ya kufika kanisani misa ya jumamosi


Kama ilivyo kawaida yetu, kwa watakaoweza kutoa mchango kusaidia kufanikisha mazishi ya baba yetu mpendwa, familia imefungua akaunti maalum ambapo mnaweza kutanguliza rambi rambi zenu:

Bank of America
Accounts #: 483-011-631-205
Routing #: 021-000-322


Kwa watakaoweza kwenda kuhani kilio na kutoa rambirambi, msiba upo kwa Mama mdogo wa familia, Bi Leah Semguruka, anuani ni 33 Tennyson St, Hartsdale, NY 10530(nenda Yahoo! Maps kwa ajili ya directions). Tafadhali tembelea www.kanyamachiume.com kwa historia ya maisha ya marehemu na kutoa rambi rambi katika guestbook.

Kwa taarifa zaidi wasiliana na::

New York, USA:
Michael (Kwacha) Chiume (son), Tel. 1-646-662-6999, email: kwachac@aol.com
Nathan Chiume (son), Tel. 1-646-552-6347, email: nchiume@hotmail.com

Lilongwe, Malawi:
Ephraim Kadokera Chiume (cousin), Tel 011-265-8824-797, email: chiume@malawi.net

Dar es Salaam, Tanzania:
Tasokwa Chiume (son) Tel. 011-255-784-156730, email: planckscale@hotmail.com
William Mpambika Chiume (son), Tel. 011-255-787-118815, email: mpambika@gmail.com
Eunice Mongi-Chiume (daughter-in-law) Tel. 011-255-756-140153, email: echiume@gmail.com

Tafadhali saidia kufikisha ujumbe kwa ndugu na jamaa wengine. Ahsanteni sana kwa mshikamano na upendo wenu katika wakati huu wa huzuni.
Familia ya Chiume.
 
Wakuu wote wa JF, ninaomba kutoa shukrani zangu kwa ushirikiano mzito so far na ndugu zetu wafiwa, sasa inakuja the difficult part ya msiba, kuusafirisha mwili wa marehemu kutoka US, kwenda Tanzania/Malawi,

ninawaomba tu ndugu zangu tujaribu kujitolea angalau kidogo, maana kutoa ni moyo sio utajiri, tujaribu kuwasaidia ndugu zetu waufikishe mwili wa mzazi na mpendwa waona wetu pia, nyumbani, Afrika, ambako kwa usia wa marehemu ndiko alikotaka akapumzishwe, baada ya kuitwa na muumba wake,

Haya shime ndugu zangu popote tulipo, tujitahidi na Mungu atusaidie wote tutakao angalau jaribu hata kidogo, bado mioyo yetu iko pamoja na wafiwa, na Mungu awajaze baraka katika hiki kipindi kigumu sana kwao na kwetu wote tunaowafahamu, na tuliokuwa tikimfahamu marehemu Kanyama Chiume.

Ahsanteni Wakuu, tujaribu kujitokeza kwenye kujitolea.
 
Back
Top Bottom