COMOTANG
JF-Expert Member
- Jan 6, 2021
- 2,131
- 1,808
Hapana mkuu nilitaka kujua hiyo readings tu.Nashauri endelea kufuatilia presha na sukari UNAPASWA kupima wiki nzima kabla na baada ya kula Kisha daktari atashauri zaidi lakini kwa presha uliyopima 120/60 hiyo ya chini IPO chini zaidi endelea kupima mkuu.Ni kabla Sijala
Vipi mkuu, Ilitakiwa Nile