Msaada: Kwa dalili hizi nikamuone Daktari gani na nikapime nini?

Ni kabla Sijala
Vipi mkuu, Ilitakiwa Nile
Hapana mkuu nilitaka kujua hiyo readings tu.Nashauri endelea kufuatilia presha na sukari UNAPASWA kupima wiki nzima kabla na baada ya kula Kisha daktari atashauri zaidi lakini kwa presha uliyopima 120/60 hiyo ya chini IPO chini zaidi endelea kupima mkuu.
 
Asante kwa ushauri ndugu
 
Waambie wacheki Vitu vyote muhimu kwa mfano wakucheki je unao upungufu wa Vitamin mwilini mwako? wakucheki HIV wakucheki Hepatitis B Virus, wakucheki je ini lako linafanya kazi vizuri?wakucheki katika njia ya mkojo figo lako lipo salama? na mambo mengine wanayajuwa Ma-Daktari lakini hivyo nilivyo kutajiandio muhimu kuangalia katika damu na mkojo wako.
Ushauri mzuri ndugu ila itabidi niwasisitize wapime hivyo vitamin B Na calcium Maana ndo vinavunja system yangu ya neva
 
Ndugu yangu una tatizo la stress Mimi nilishawahi kuumwa Kama wewe kwa miaka 3 na hizo dawa za neuro support nmezimeza sana Ila hali haikuisha baada ya kukutana na wataalam mbali mbali wa afya ndo wakanambia hiyo hali inasababishwa na msongo wa mawazo, baada ya kuacha mawazo nimepona kabisa sahivi Sina tatizo
 
Mkuu pole sana kwa hayo maradhi yako yanayo kusumbuwa ninakushauri ukapime hospitali Vitu 2 kapime damu Full Blood Picture na Mkojo ndipo itakapo julikana unayo maradhi gani mwilini mwako yanayo kusumbuwa. Damu na Mkojo ukipima na Maradhi yako haya kuonekana kwenye hivyo vipimo, ujuwe una maradhi ya elimu ya giza aka uchawi utanitafuta kwa wakati wako ili nipate kukutibia upate kupona maradhi yakoı uguwa pole.
Mkuu nakuzamia DM
 
Ndugu yangu una tatizo la stress Mimi nilishawahi kuumwa Kama wewe kwa miaka 3 na hizo dawa za neuro support nmezimeza sana Ila hali haikuisha baada ya kukutana na wataalam mbali mbali wa afya ndo wakanambia hiyo hali inasababishwa na msongo wa mawazo, baada ya kuacha mawazo nimepona kabisa sahivi Sina tatizo
Ndugu mimi sina stress naenjoy tu hii shida sio sababu ya stress ndugu
Asante
 
Waambie wacheki Vitu vyote muhimu kwa mfano wakucheki je unao upungufu wa Vitamin mwilini mwako? wakucheki HIV wakucheki Hepatitis B Virus, wakucheki je ini lako linafanya kazi vizuri?wakucheki katika njia ya mkojo figo lako lipo salama? na mambo mengine wanayajuwa Ma-Daktari lakini hivyo nilivyo kutajiandio muhimu kuangalia katika damu na mkojo wako.
Mnabeti vipimo wazee.

Haiwezekani akafanye kila kipimo bhana.

Mtu mwenye hepatitis sio kawaida kupata complication za huyo jamaa hivyo ni kumsumbua ukimuambie akapime hepatitis wakati hepatitis ina signs zakw specific.

Mtua mwenye HIV sio aghlabu eti awe na complication za huyu jamaa wakati kuna signs maarufu zinajulikana kwa mtu mwenye HIV,na ingekuwa HIV kwa miaka yote sita ingeshajulikana tu.

Hapa ini ulilotaja kwamba akapime kama ini lina tatizo haiwezekani kwa miaka sita yote aumie kwenye sehemu alizotaja tu.

Hata hilo figo halina shida kabisa kwa sababu matatizo ya figo yana dalili zake ambazo ni maarufu zinajulikana na huyu jamaa ni miaka 6 ana tatizo hilo alilotaja.

Hapo akienda kupimwa akakutwa na malaria sio ajabu daktari kilaza akamuambia malaria ndio inasababisha hiyo tatizo😄😄😄.

Watu wa afya waumize kichwa sio kubbeti vipimo mwisho wa siku mtu ana tatizo lile lileeeeee haliishi kumbe kuna tatizo walilisingizia k2amba ndo sababu ya tatizo lingine kumbe walaaaa
 
Hapana mkuu nilitaka kujua hiyo readings tu.Nashauri endelea kufuatilia presha na sukari UNAPASWA kupima wiki nzima kabla na baada ya kula Kisha daktari atashauri zaidi lakini kwa presha uliyopima 120/60 hiyo ya chini IPO chini zaidi endelea kupima mkuu.
Kwani matatizo ya presha yanahusiana nini na matatizo aliyotaja ?

Presha ina complication zake ambazo kimsingi kama jamaa angekuwa na tatizo hilo kwa miaka sota basi ingedhihirika tu,msiisingizie presha.

Kijana wa 33 yrs anafanya mazoezi presha inatoka wapi bhana.

Alafu presha kila mtu ana normal presha yake hatuwezi kufanana presha.
 
Safuher haya magonjwa yasiyo ya kuambukiza hayajali umri na hayana dalili za moja kwa Moja zinazofanana kwa kila mtu.Nilipatwa na presha nikiwa na 24
 
Safuher haya magonjwa yasiyo ya kuambukiza hayajali umri na hayana dalili za moja kwa Moja zinazofanana kwa kila mtu.Nilipatwa na presha nikiwa na 24
Sikatai ila kwa shida anazoeleza huyu jamaa ni wazi presha inasingiziwa.

Hata kama atakuwa nayo presha basi haiwezi kuwa sababu ya tatizo lake.
 
Habari Wakuu, Natanguliza Shukrani
Mimi Ni Me Umri Miaka 33
Ni Miaka 6 Naishi Na Hili Tatizo Ila Kwa Sasa Mambo Yamenizidia

*Mwili Wangu Una Maumivu Makali Ya Ndani Kwa Ndani Hasa,Mabega, shingo,nyonga na mgongo na hata kichwa Kuwa Kizito (Sio Maumivu Ya kuminya Bali ni ya ndani mfano Ukinishika shingo Sihisi maumivu, Ila Nikiipa Movement Napata Maumivu)

*Viungo Kukaza Na Kufa Ganzi Hasa Mapaja, Mabega Na Shingo

*Uchovu Na Usingizi wa Mara kwa mara

*Kukosa Umakini Na Kujiamini Na Uwezo Mdogo Wa kumbukumbu

Napata Nafuu Kidogo nikifanya Mazoezi (yoga) Asubuhi (lisaa limoja) , hii Inanifanya Niwe Mtumwa wa Mazoezi, Lasivyo Hali Inakua Mbaya Zaidi.
Wakati Wa Mazoezi Napitia Maumivu Makali Ila Inanibidi Nifanye Ili Kuleta Unafuu

NB:kuna Kipindi Niliwahi Tumia Vidonge vya Neorotone Nilipata Nafuu ya Muda Mfupi Lakini Hali Ikaendelea

Sijawahi Anguka Wala Kupata Ajali

Nawaza Kwenda Muhimbili Ila Sijui Nikamuone Specialist Gani Au Nikapime Nini!!?

Samahanini Kwa Maelezo Marefu
Vidonge ulitumia muda wa siku ngapi ?

Na je hali hiyo ilirudi baada ya kutumia vidonge au ilirudi wakati upo katika dozi ya vidonge ?

Je kwenye pingili za vidole vya miguu hukuwahi kupata uvimbe wowote ?
 
Back
Top Bottom