Msaada Kwa CRDB banking Kwa Diaspora

venchwa

JF-Expert Member
Aug 5, 2016
1,677
1,592
Habari naomba kujua

Nimefungua akaunti CRDB mwaka Jana nilipokuwa TANZANIA Kwa likizo,

Nilipewa Kadi ya hapo hapo Ya MasterCard,
Dhumuni la kufungua account hii ni kuwa naweka hela Kwa International Transfer kutoka benk yangu kwenda CRDB ili iwe rahisi kuhamishia watu hela na kufanya malipo na manunuzi uko Tanzania au emergency mbali mbali you never know,

Lakin nilitaka nifanye hata mobile banking Kwa application ya Simu, kama wengine wanavyofanya kama standard chartered,

Lakin nimedownload application ya CRDB BANKING naweka kila kitu najaza, nikiendelea inaleta

Verification OTP je hapo kwenye OTP naweka nini?

Dhumuni langu ni kufanya miamala ya Tanzania hata kama siko Tanzania , maana inanigharimu Sana kwenda western union, kwanza Ku kudraw hela Kwa MasterCard na kutuma Kwa western union, wakati nikifanikisha application hii inakuwa rahisi kumuamishia mtu Kwa Mpesa, Una enjoy kama uko Tanzania,

Wataalamu naomba ujuzi nafanya nini,

Alafu CRDB bado wana mambo ya kishamba hawana hata Diaspora Banking, hata WhatsApp kuwasiliana nao ni ishu mpaka kutuma email,
 
Back
Top Bottom