Happycuit
JF-Expert Member
- Aug 18, 2013
- 638
- 530
Mimi nikiwa ni mpenda soka haswaaaaaaaa nimeshtushwa na kushangazwa na hili la yanga kutaka kuazima mchezaji wa lipuli ADAM SALAMBA ili akawasaidie kuwaongezea nguvu ktk michuano ya kimataifa wanayoshiriki,na leo msemaji wao ameliongelea hili na kusema kuwa wanaruhusiwa kuongeza wachezaji watatu ili kuboresha kikosi chao
maswali yangu yanakuja hivi.......
JE,SHERIA HII IPO TOKA ZAMANI AU IMEANZA HIVI KARIBUNI?[maana hapo mwanzo sijawahi kuiona ikifanya kazi]
JE,SHERIA HII NI YA AFRIKA TU AU MPAKA ULAYA?[kwa mfano arseanal wanaweza kwenda kumuazima EDEN HAZARD,MOHAMMED SALAH na NGOLO KANTE endapo tu liverpool na chelsea watakuwa hawashiriki michuano ya kimataifa]
maana nimesikia ufafanuzi wake jamaa lakini una ukakasi kidogo.........
NB:HAYO MASWALI NIMEULIZA KWA KUTAKA KUJUZWA ENDAPO KUNA MTU ANAWEZA NISAIDIA ILI NIONGEZE ELIMU FULANI KTK SOKA ......
SHUKRANI