Msaada: Kwa anayepafahamu...

babe S

JF-Expert Member
Dec 12, 2011
3,879
20,853
Habari wandugu!

Kwa yeyote anayefahamu juu ya chuo cha MUSOMA UTALII Tabora campus hasa kwa upande wa utoaji wa health courses, mazingira na sifa zao!

Asante
 
Zamani walikuaga matapeli kinoma labda siki hizi wamebadilika,wanafunzi kibao walilizwa miaka hio.
 
Hicho chuo kipo musoma mjini ni cha praiveti kuna shule pia hapo hapo ila aende mana chuo kina majanga wakti mwingine huduma siyo nzuri nakifahamu siwezi sema mengi aiseee mana huku ni mtandaoni hayo machache yanakutosha
Hela zenyewe ngumu sa hivi bora kumwambia ukweli aamue mwenyewe kabla hajateketeza pesa zake.
 
Hicho chuo kipo musoma mjini ni cha praiveti kuna shule pia hapo hapo ila aende mana chuo kina majanga wakti mwingine huduma siyo nzuri nakifahamu siwezi sema mengi aiseee mana huku ni mtandaoni hayo machache yanakutosha
Asante, Yeye ameitwa Tabora campus ila kama main ni hivyo hata huko Tabora naanza kupata wasiwasi!
 
Back
Top Bottom