Msaada kwa anayejua

Je unawezaje kupata kazi ya kuwa mkufunzi katika chuo? Maana ni moja kati ya kazi ninayopenda.

Ualimu ni wito we anza hata shule ya kata huko vyuoni wanataka GPA za 4.5/5 unaeza pata? Ama upige hadi PhD, mi sipendi kbs hiyo kazi huea naona kama ina gundu tu hasa unapoona walimu wanakimbia vyo na kuwa wabunge, wanafungua Bar, bado scandal za kugegeda
 
Back
Top Bottom