Msaada kwa anayejua maisha na mazingira ya Qatar

Kingpm

Member
Apr 5, 2016
11
2
Wadau naombeni ushauri kwa yeyote anayefahamu nchi ya Qatar. Nimepata kazi kule na sasa hivi nashughulikia viza.

Itakuwa safari ya kwanza nchini humo hivyo naomba mzoefu anifahamishe kuhusu mazingira, watu na makazi.

Natanguliza shukrani.
 
Fanya utafiti yakinifu juzi kuna family iko Kenya inalalamika kwa mambo yanayomtokea ndugu yao na kurudi hawezi koz waarab wameshika passport
 
Ok utakuwa pouwa ndugu pako fresh sana ila kuwa makini sana.kwani ubaguzi kule ni wa hali ya juu sana
 
Kuna gende imbalance ya hatari. 90% ni wanaume na 10% ni wanawake.

Mnaweza kuishi mtaa mzima wanawake wawili.

85% ya wana qatar ni wahamiaji.

Maisha yapo juu kiasi fulani hasa kwa vyakula kwasababu wao wanaimport karibu kila kitu.
 
Tueleze kwanza kazi umeipata katika mji gani, mwajiri wako ni kampuni mtu binafsi au ni wakala wa kazi. Hata hivo Miji kama capital city Doha, Alkhuwayr ni mbali kutoka Doha, Al Wakrah ni karibu na Doha, Umu Sa'id, Dukhan, au Umm Baab huko kote maisha safi.
 
Bavaria Qatar wanaume ni wengi sana kwa sababu ya wahamiaji. Kweli maisha ni ghali kama ilivyo kwa nchi jirani kama Bahrain, Saud Arabia Kuwait hata kule Omani ni hivo hivo.
 
Kuna gende imbalance ya hatari. 90% ni wanaume na 10% ni wanawake.

Mnaweza kuishi mtaa mzima wanawake wawili.

85% ya wana qatar ni wahamiaji.

Maisha yapo juu kiasi fulani hasa kwa vyakula kwasababu wao wanaimport karibu kila kitu.
Bavaria shukran kwa mchango
 
Tueleze kwanza kazi umeipata katika mji gani, mwajiri wako ni kampuni mtu binafsi au ni wakala wa kazi. Hata hivo Miji kama capital city Doha, Alkhuwayr ni mbali kutoka Doha, Al Wakrah ni karibu na Doha, Umu Sa'id, Dukhan, au Umm Baab huko kote maisha safi.
Mji ni Doha mwajili ni kampuni
 
Back
Top Bottom