Msaada kwa anayejua kihispania

lukinga01

JF-Expert Member
Jul 12, 2015
414
381
Wanafamilia wa lugha tafadharini naomba kujulishwa maana ya maneno ya Casa de Oracion kwa kiswahili yana maanisha nini? Ntashukuru kwa msaada wenu.
 
Maana yake sehemu ya ibada kama kanisa au msikitini.


Ndukiiiii 🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Hahahahaah! Nmekupata ndg yangu. Hata mm nilijaribu Kusoma dictionary ya kispaniola na kingereza nikaona ni kama hivyo. Japo nataka anayejua anifafanulie vizuri na kwa usahihi kabisa.
 
Back
Top Bottom