Msaada kwa anayejua jinsi ya kuomba nafasi za ualimu kama hujasoma masomo ya ualimu!

TUTEER

Senior Member
Nov 6, 2013
161
33
Nawasalimu wanajf,mimi ni mhitimu wa elimu ya juu katika kozi ya uhasibu yaani Bcom Accounting,ninaomba kwa yeyote anayejua jinsi ya kuomba maombi ya ualimu serikalini anisaidie kwani nahitaji kuwa mwalimu wa bookeeping,commerce au accounting,plse nisaidieni!
 
Haiwezekani mkuu,labla ukasomee ualimu upya.
 
Nawasalimu wanajf,mimi ni mhitimu wa elimu ya juu katika kozi ya uhasibu yaani Bcom Accounting,ninaomba kwa yeyote anayejua jinsi ya kuomba maombi ya ualimu serikalini anisaidie kwani nahitaji kuwa mwalimu wa bookeeping,commerce au accounting,plse nisaidieni!

Kasome postgraduate diloma in education (PGDE) mwaka mmoja.Udom au Udsm patakufaa.
 
Omba kazi private school yoyote utapata, then anza kusoma open university masomo ya ualimu!.
 
Back
Top Bottom