Msaada kwa anayejua hii mahakama ya usuluhishi;

Mbudi

JF-Expert Member
Apr 14, 2013
564
146
ndugu wa na jukwaa mimi nilikuwa mtumishi wa kampuni ya bia tanzania tbl miaka ya nyuma tulikuwa na madai yetu tukafungua kesi mahakama kuu ya Tanzania.

kampuni ikaweka pingamizi kuwa kabla ya kwenda mahakamani tuanzia kwa msuluhishi tukapelekwa mahakama ya usuluhishi tukapewa jaji mstaafu.

1.wastaafu tukaambiwa tupeleke malala miko yetu kwa njia ya maandishi, tukapeleka na vielelezo.

2.tbl ikaambiwa ijibu malalamiko yetu ikajibu.

3.tukaambiwa kama kuna nyongeza tukapewa muda wa kupeleka na tbl wakaambiwa nao kama wananyongeza wapeleke pia zilikuwa tarehe tofati tofauti.

5.baada ye msuluhishi yaani jaji akaita pande zote mbili cc na tbl. akatupa garama ya kesi tukalipia. akatupangia tarehe ingine yaanai 26/09/2021.

Ndugu naomba mnisaidie anaenda kutoa hukumu au ndio anaenda kutusikiliza maana kila kitu tulimpa mezani akapitia hoja zote. kesi hii imechukua zaidi ya miaka 3 msaada kwa mtaalamu anayeyua mabo ya usuluhishi katika mahakama zetu. tumelipia mill 100. tumetanguliza nusu na hiyo mia ni baada ya kodi gross ilikuwa 141

Mahaka ya usuluhishi CMA zipo kila mkoa na kama una malalamiko au mgogoro wako unatakiwa kwenda kufungua keshi ya malalamiko yako ofisini bila malipo yoyote.

CMA ndio itakupangia msuluhishi na mkishindwa kusuluhisha ndio mtaenda attraction ambapo sheria itasimama sasa na ushahidi utahitajika.

This is from my experience na mimi nina kesi ya kazi CMA so wewe mwenye mgogoro unatakiwa kwenda CMA watakuelekeza baada ya hapo utatafuta mwanasheria wako na TBL itatoa mwanasheria wake na kuleta vilelezo vyote vitakavyo hitajika.
 
sina utaalam sana katika uandishi mnisehamehe mtakapo ona nimekosea naomba mnikosoe
 
asante mkuu ila kuna
Mahaka ya usuluhishi CMA zipo kila mkoa na kama una malalamiko au mgogolo wako unatakiwa kwenda kufungua keshi ya malalamiko yako officeni bila malipo yoyote CMA ndo itakupangia msuluhishi na mkishindwa kusuluhisha ndo mtaenda attraction ambapo sheria itasimama sasa na ushahid utahitajika.

This is from my experience na mm nnakeshi ya kazi CMA so ww mwenye mgogolo unatakiwa kwenda CMA watakuelekeza baada ya hapo utatafta mwanasheria wko na TBL itatoa mwanasheria wake na kuleta vilelezo
document tbl wamembiwa walete wanasema hawana walisha zichoma moto hivyo jaji kasema tarehe 8/11 ataanza kutusikiliza ila sasa huu ni mwaka wa 5 sasa hatujawahi hatajisikilizwa kila siku sababu tuuuu
hivi inatakiwa iwe imeisha baada ya muda gani
 
Mahaka ya usuluhishi CMA zipo kila mkoa na kama una malalamiko au mgogolo wako unatakiwa kwenda kufungua keshi ya malalamiko yako officeni bila malipo yoyote CMA ndo itakupangia msuluhishi na mkishindwa kusuluhisha ndo mtaenda attraction ambapo sheria itasimama sasa na ushahid utahitajika.

This is from my experience na mm nnakeshi ya kazi CMA so ww mwenye mgogolo unatakiwa kwenda CMA watakuelekeza baada ya hapo utatafta mwanasheria wko na TBL itatoa mwanasheria wake na kuleta vilelezo
Kwa dsm CMA ipo wapi??
 
ndugu wa na jukwaa mimi nilikuwa mtumishi wa kampuni ya bia tanzania tbl miaka ya nyuma tulikuwa na madai yetu tukafungua kesi mahakama kuu ya Tanzania.

kampuni ikaweka pingamizi kuwa kabla ya kwenda mahakamani tuanzia kwa msuluhishi tukapelekwa mahakama ya usuluhishi tukapewa jaji mstaafu.

1.wastaafu tukaambiwa tupeleke malala miko yetu kwa njia ya maandishi, tukapeleka na vielelezo.

2.tbl ikaambiwa ijibu malalamiko yetu ikajibu.

3.tukaambiwa kama kuna nyongeza tukapewa muda wa kupeleka na tbl wakaambiwa nao kama wananyongeza wapeleke pia zilikuwa tarehe tofati tofauti.

5.baada ye msuluhishi yaani jaji akaita pande zote mbili cc na tbl. akatupa garama ya kesi tukalipia. akatupangia tarehe ingine yaanai 26/09/2021.

Ndugu naomba mnisaidie anaenda kutoa hukumu au ndio anaenda kutusikiliza maana kila kitu tulimpa mezani akapitia hoja zote. kesi hii imechukua zaidi ya miaka 3 msaada kwa mtaalamu anayeyua mabo ya usuluhishi katika mahakama zetu. tumelipia mill 100. tumetanguliza nusu na hiyo mia ni baada ya kodi gross ilikuwa 141
0627024916
 
Back
Top Bottom