Msaada kwa anayeifahamu Kampuni ya Alliance In Motion Global

mkurya org.

JF-Expert Member
Sep 25, 2014
1,571
1,694
Wakuu kama inavyosomeka hapo juu Naombeni msaada kuifahamu kiundani zaidi hii kampuni ya (Alliance In Motion Global )Maana nimefatwa Mara nyingi sana ili Nijiunge nayo .
Ila bado nina mashaka nayo Isijekuwa ni zile kampuni za kupiga dili afu baada ya muda kwa kisingizio cha kufilisika wakikolea na ela zetu wanasepa nazo ,
Msaada tafadhali Natanguliza Shukrani...!!!!!
 
Haina tofauti na: orifame,forever living, trevo,edmark
It's just the matter of the product they are selling....join kama unaweza kufanya biashara hizo
 
Mkuu ushajiunga?sahivi nimetoka kwenye hiyo semina rafiki yangu kanialika.naomba ushuhuda wako kama ulijiunga
 
Wakuu....
Kuna kampuni mpya hapa Tanzania inayojihisisha na biashara za mitandaoni inakuja kwa kasi sana. Wenyewe wanajinasibu kwa kiwajaza utajiri watu kwa njia ya network market....nimehudhuria semina zao Mara ya tatu sasa hapa Makumbusho complex na ninahisi kushawishika. Lakini Nina wasiwasi bado japokuwa wamekuwapo watu wakitoa ushuhuda wa kutajirishwa na kampuni hii lakini bado Nina wasiwasi... Naamini humu hawakosi watu wanauoifahamu kampuni hii... Taarifa zenu tafadhali
 
Ndo walewale tuu wanakuuzia packages alafu wewe uende kuwashawishi watu wanunue kama wewe unavyoshawishiwa sasa hivi wakinunua ndo washajiunga hivyo unapata kamisheni kupitia hao ulio washawishi wajiunge package moja sio chini ya laki tano nafikiri
 
Sio lazma ukauuze bidhaa, unaweza kuztumia...n biashara nzur sana. Nichek watsap thru 0659426390.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu....
Kuna kampuni mpya hapa Tanzania inayojihisisha na biashara za mitandaoni inakuja kwa kasi sana. Wenyewe wanajinasibu kwa kiwajaza utajiri watu kwa njia ya network market....nimehudhuria semina zao Mara ya tatu sasa hapa Makumbusho complex na ninahisi kushawishika. Lakini Nina wasiwasi bado japokuwa wamekuwapo watu wakitoa ushuhuda wa kutajirishwa na kampuni hii lakini bado Nina wasiwasi... Naamini humu hawakosi watu wanauoifahamu kampuni hii... Taarifa zenu tafadhali

ukiona wanavyoangaika huko kwenye magroup utawaonea huruma ni kaz ngumu kuanza kumwambia MTU atoe ela
 
Network Marketing is Big Business which creates financial freedom... particularly residual Passive income... ukihitahi ushauri zaidi contact me. 0659633720
 
Wakuu kama inavyosomeka hapo juu Naombeni msaada kuifahamu kiundani zaidi hii kampuni ya (Alliance In Motion Global )Maana nimefatwa Mara nyingi sana ili Nijiunge nayo .
Ila bado nina mashaka nayo Isijekuwa ni zile kampuni za kupiga dili afu baada ya muda kwa kisingizio cha kufilisika wakikolea na ela zetu wanasepa nazo ,
Msaada tafadhali Natanguliza Shukrani...!!!!!
Wakuu kama inavyosomeka hapo juu Naombeni msaada kuifahamu kiundani zaidi hii kampuni ya (Alliance In Motion Global )Maana nimefatwa Mara nyingi sana ili Nijiunge nayo .
Ila bado nina mashaka nayo Isijekuwa ni zile kampuni za kupiga dili afu baada ya muda kwa kisingizio cha kufilisika wakikolea na ela zetu wanasepa nazo ,
Msaada tafadhali Natanguliza Shukrani...!!!!!
Leta nondo ili tuchangamkie fursa
 
Back
Top Bottom