Msaada kwa anayefahamu chuo cha mapishi kilicho chini ya veta!!!

Genecandy

JF-Expert Member
Dec 13, 2017
491
882
Hbr wapendwa

Kama kichwa cha habari kinavyosema jmn naomba mnisaidie chuo cha mapishi cha veta au kilicho chini ya veta mwanza au mtwara kwa anayefahamu utaratibu wao
Na gharama zao!!

Nipo mbali na mikoa yote miwili nimejaribu kugoogle sijapata info za kuridhisha xo kabla sijaenda naomba mnisaidie japo nipate pa kuanzia!

Kadogo kangu kametoka jkt kaende kakasomee hata mapishi ili kajiajiri!!si mnajua wamesharudishwa na washakaa miaka kadhaa!

Asanteni na ntashukuru kwa michango yenu!!!
 
Angalia hilo tangazo huenda litakusaidia ingawa nimetoka nje ya mada kidogo.
View attachment 2. TANGAZO LA GAZETI. Don Bosco.doc maboresho-clouds-1.pdf
 
Hako kadogo kapeleke kakasome certificate ya Business Admn. Kisha mfundishe hayo mapishi nadhani ni kozi ya miezi 3 tu. Kisha ndio ajiajiri. Kujiajiri bila elimu nayo ni janga.

Vyuo vinaweza kuwepo, lakini umelimit sehemu hizo tu.
 
Asante mkuu ni ushauri mzuri sana ntaufanyia kazi sikufikiria khsu hilo kbsa nashukuru sana;mana wamerudishwa nyumbani inabidi kajichanganye mana bado umri unamruhu
 
National college of tourism (nct arusha)
Hbr wapendwa

Kama kichwa cha habari kinavyosema jmn naomba mnisaidie chuo cha mapishi cha veta au kilicho chini ya veta mwanza au mtwara kwa anayefahamu utaratibu wao
Na gharama zao!!

Nipo mbali na mikoa yote miwili nimejaribu kugoogle sijapata info za kuridhisha xo kabla sijaenda naomba mnisaidie japo nipate pa kuanzia!

Kadogo kangu kametoka jkt kaende kakasomee hata mapishi ili kajiajiri!!si mnajua wamesharudishwa na washakaa miaka kadhaa!

Asanteni na ntashukuru kwa michango yenu!!!
 
Nenda VETA makao makuu Dar kule Chang'ombe watakupa vipeperushi na kozi fupi zote wanazofundisha vituo vyao Tanzania nzima.

Wana tawi mikoa yote uliyosema.

Ingekuwa hapa Dar kuna chuo cha serikali cha mambo hayo kuanzia ngazi za cheti hadi shahada(degree) kipo Mbagala.

Kipo chini ya wizara yenye dhamana ya utalii.

Pia kuna chuo bora kabisa kilikuwa karibu na IFM Dar nadhani kinaitwa 'Gillmans Institute of Hotel Management' sijui kama bado kipo na jina sikumbuki vizuri. Hawa wanakutafutia field sehemu nzuri ambazo wengi wanapata ajira ya maana sana kuliko kazi za wahitimu wengi wa degree uchwara za vyuo vyetu vikuu vya umma.
 
Mbagala kumbe kuna chuo kikubwa hivyo asee kinaitwaje boss maana kuishi kwangu kote wilaya ya TEMEKE silijui hilo?
 
Back
Top Bottom