Msaada kwa anaejua Vitu muhimu unapoenda kufatilia cheti cha kuzaliwa pamoja na gharama zake.

umri mdogo wanapewa bure, kuanzia miaka 10 unalipia 10,000 ukiwa na umru kuanzia 50 hawakupi cheti cha kuazaliwa utakuwa unatumia Affidavit
Mkuu hakuana bure, last week tu nilienda kufuata cha kido wangu miezi 4 kasoro, ni 3500 tu. Wakubwa ni hiyo 10 elfu.
Muda wastani inachukua siku 14 (2 weeks).
 
Nashauri kama cha kwako nenda na kadi yako ya kliniki, au tangazo la kuzaliwa toka hospital, kadi ya mpiga kura.
NOTE: Sio kwamba hivyo vyote vinahitajika bali kwa akiba tu.
 
leo unalipia kesho unapta kma una ndugu yko yupo dar unaweza kuni connect nae anakuwa anasimama kwa niba yko,au kma unaniamin unantumia details zko na hela then nakutumia
Mkuu malipo ni kiasi gani?
 
Wadau wametoa link ya RITA na wengine wameweka bei kabisa,ila jiandae kupata cheti chenye mapungufu wakati mwingine sijui kwanini hawako makini kwenye tarehe ikiwa uliwapa mpaka copy ya tangazo
 
Wadau wametoa link ya RITA na wengine wameweka bei kabisa,ila jiandae kupata cheti chenye mapungufu wakati mwingine sijui kwanini hawako makini kwenye tarehe ikiwa uliwapa mpaka copy ya tangazo
Asante.
Mara nyingi huwa wanakosea
 
Back
Top Bottom