Msaada kwa anaefahamu.

General mex

Senior Member
May 1, 2011
158
185
Wadau naombeni mawazo yenu kuhusiana na hii course ya Actuarial science. Ni course iliyoanza kufundishwa mwaka jana hapo Udsm, na je, soko lake la ajira liko vipi?
 
Wadau naombeni mawazo yenu kuhusiana na hii course ya Actuarial science. Ni course iliyoanza kufundishwa mwaka jana hapo Udsm, na je, soko lake la ajira liko vipi?
<br />
<br />
ni nzuri,bt hamna tofaut kubwa kat yake na finance,statistcs na economics.
 
Thank you kwa msaada wako. Mi kwangu kozi nzuri ni ile ambayo ni rahisi kupata kazi na pia isiwe imespecialize sana kuwe na uwezekano wa kupata kazi sehemu nyingi. Asante kwa majibu yako mazuri.
 
Kama hiyo Actuarial maana nimejibiwa haina tofauti sana na finance na statistics kwa hiyo mi naona itakua poa.
 
Back
Top Bottom