Msaada kwa anaefahamu pre-interview form/bio-data form huwa ina lengo gani?

tang'ana

JF-Expert Member
Apr 3, 2015
11,810
15,068
Wakuu mmeamkaje huko mlipo?sasa,miezi kama miwili iliyopita nilidrop ka Cv kangu kwenye kampun flan hapa tz,jana wamenitumia e-mail yenye form na sehemu za kujaza particulars zangu,wamenambia niitume kabla ya tarehe 8/may,hivi huwa ina lengo gani na wkt cv yangu tayari wanayo?
Asanteni.
 
Wanataka kujua kama kuna updates zozote tangu kipindi ulichotuma cv hadi utakapojaza form.Kumbuka update inaweza kuwa kuongeza, kuondoa, kubadilisha au kupunguza mfano namba ya simu, anuani n.k.
 
Wanataka kujua kama kuna updates zozote tangu kipindi ulichotuma cv hadi utakapojaza form.Kumbuka update inaweza kuwa kuongeza, kuondoa, kubadilisha au kupunguza mfano namba ya simu, anuani n.k.

ok,kwa hiyo sio guarantee ya kuwa shortlisted?
 
Bio data inasaidia zaidi kampuni kukujua ulivyo Kama umeowa, Una watoto wangapi, wategemezi wako, Kama kuna any changes kwenye elimu, afya yako na kadhalika
 
Maswali mengi utakayoenda ulizwa yatatoka kwenye hiyo biodata hakikisha unayakumbuka yote uliyojaza na pia inatakiwa data zifanane na za kwenye cv uliyotuma hususan miaka ya masomo na kazini
 
Bio data inasaidia zaidi kampuni kukujua ulivyo Kama umeowa, Una watoto wangapi, wategemezi wako, Kama kuna any changes kwenye elimu, afya yako na kadhalika

kwa hyo sio guarantee ya kuwa shortlisted?
 
Back
Top Bottom