Msaada:kwa anae ifahamu SANGU HIGH SCHOOL

It is Sur_Plus

Senior Member
Sep 28, 2010
167
7
Tafadhar wana Jf naombeni msaada nahitaji kufahamu uwezo wa shule ya Sangu katika kutoa taaluma bora. Nina mdogo wangu ambaye anatalajia kujiunga na masomo ya kidato cha tano mwakani. Nilimuuliza angependa kusoma shule ipi A'level akanitajia Shule hiyo.
 
For A level studies Sangu is doing well so far,therefore allow your young bro to join,and i am sure if he will stick seriously in acedemic issues,he will perfom well.Shule haiko mbali na mjini ambako raha raha za vijana zinapatikana hivyo akizingatia book atafanya vyema.Uhakika tafuta matokeo ya miaka miwili iliyopita
ya A level utaridhika.
 
Naifahamu Sangu ndo niliposoma mimi A'level. Kuhusu taaluma shule ipo juu sana,mtu anaepata div two ndo mzembe.Ila haina michepuo sayansi.
 
SHULE IPO MBEYA MJINI, KATIKA JIMBO LINALOONGOZWA NA JOSEPH MBILINYI a.k.a MR II, WA CHADEMA.
KITAALUMA INAFANYA VIZURI. MWANBIE MDOGO WAKO ASIHOFU CHUO AMEFIKA KUPITIA SANGU SEKONDARI


:A S angry::nono::hippie::yield::doh::tape::A S angry::rip::bowl::smile-big:
 
Ni wa kike au kiume?


Kama kiume ajiandae kupanga chumba maana hawana hostel nzuri kwa wanafunz wa kiume na sio rafiki katika kujisomea hasa A Level maana hakuna mambo ya Prep na discussion ni nadra sana maana Advance wengi wamepanga na wengi ni wanafunzi wa kutwa

Hostel zao zipo nje kabisa ya shule maeneo ya mahakama kuu(kadege)
 
Back
Top Bottom