Tathmini ya jinsi vyombo vya utekelezaji wa sheria nchini Tanzania unavyo shughulikia maswala ya vidhibiti (Handling Of Exhibits).Nashukuru,unaweza lifafanua linataka nn hasa
Nashukuru sana mkuuTathmini ya jinsi vyombo vya utekelezaji wa sheria nchini Tanzania unavyo shughulikia maswala ya vidhibiti (Handling Of Exhibits).
Swali ni pana sana, kuelezea nini hasa kitu kinacho tambulika kama kidhibiti kisheria, kuna maswala ya kuchomekeana vidhibiti (Hapa umekamatwa huna kosa ila askari anakuchomekea stiki za bangi mfukoni), upungufu wa vifaa vya kisasa vya kuhifadhi vidhibiti vinavyo haribika kutokana na muda (Mfano mtuhumiwa akikamatwa na Nyanya au Nyama za wizi...