Msaada kwa aliyeweza kuapply NACTE mwaka huu 2021

Apr 15, 2021
82
123
Habari wakuu!!

Hadi Sasa nimejaribu Sana kuapply NACTE lakini nimeshindwa,
Naomba msaada kwa yeyote anaweza kunisaidia au amefanikiwa kumaliza kuapply NACTE!!

Mpaka Sasa nimejisajili na password na username wamenipa, tatizo kwenye kuchagua chuo, kila niki-log in ili nichague chuo inafeli, sijui tatizo Nini

Asantee
 
Habari zenu

Nilikua naomba kuulizaa ivi Ina wezekanaa kuhailishaa mwaka katk chuo nilicho kuwa nasomaa na kwendaa ku omba kwenye chuo kingine bilaa kuwa taarifa TCU taarifa yakunifuta kwenye chuo Cha mwanzoo....naomba msaada wenu wakuu🙏🙏
 
Habari zenu

Nilikua naomba kuulizaa ivi Ina wezekanaa kuhailishaa mwaka katk chuo nilicho kuwa nasomaa na kwendaa ku omba kwenye chuo kingine bilaa kuwa taarifa TCU taarifa yakunifuta kwenye chuo Cha mwanzoo....naomba msaada wenu wakuu
Fafanua vizuri kwamba chuo cha awali kozi ipi ulikua unasoma,na chuo unachitaka unataka kwenda kozi ipi ni hiyo hiyo au la.
 
Back
Top Bottom