Msaada kwa aliyesoma Ki_Germany.

Mtoto halali na hela

JF-Expert Member
Aug 10, 2012
47,407
40,473
Habari za alfajiri wana Jf, najitokeza kwenye jukwaa hili kuomba msaada wa kutafsiriwa mail niliyotumiwa na rafiki yangu anayekaa Ujerumani. Naomba aliyetayari kunisaidia aniambie ili nim Pm huo ujumbe, asanteni sababu nitapata ufumbuzi wa swala langu.
 
Usije ukawa unatapeliwa wewe. Una rafiki mjerumani asiejua kidhungu? Mnatumia sign language kufikia urafiki?
Iweke google utumie translator.

ni mtalii nilikuwa naye Kilimanjaro, na English yake haikuwa nzuri. Ndio maana akaandika kikwao.
 
we ukiwa JF usiulize nani kasoma geremani.....we lete hoja yako uone mambo.....mi mwenyewe mgeremani.....mzungu kabisaaa....muulize anko wangu Mungi ananifahamu.....
 
Last edited by a moderator:
we ukiwa JF usiulize nani kasoma geremani.....we lete hoja yako uone mambo.....mi mwenyewe mgeremani.....mzungu kabisaaa....muulize anko wangu Mungi ananifahamu.....

Tena akitaka kutafsiriwa na Kiarabu uncle Mungi nipo hapa
 
google transaltor ndo kila kitu.....kama ameandika kijerumani cha ajabu(kama cha bavaria),,mtafute mtu anaitwa Puppy humu,anakijua kuliko google
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom