Katika tovuti ya BBC, mambo ya Somalia kuna taarifa "10 things we've learnt", ambayo mojawapo ya taarifa inataja uhusiano wa karibu wa kikundi kimoja cha Tanga,Tanzania na Al Shabaab.
Kama una subira ukienda kwenye tovuti ya Somalia Report ukisoma taarifa ya "UN Monitoring Group on Somalia and Eritrea" kuna appendix inayoeleza kwa kirefu na kutaja majina ya watu, tarehe na sehemu na hata mitaa inayojihusisha na kusaidia Al Shabaab, pamoja na kupeleka wapiganaji toka TZ, na mambo mengine. Cha kushangaza hakuna neno lolote tumesikia toka wahusika kukanusha au kukubali taarifa hiyo.
Kusadikika kwa ripoti hiyo hasa kuhusu fedha za madawa ya kulevya zitumikazo katika harakati za kusaidia Al Shabaab
ni hukumu ya Mahakama Kuu ya Tanga kwa wa-Tanazania wawili na raia wa Iran mmoja mwezi August 2012 ambapo faini ya TZS trillioni moja kwa mara ya kwanza ilitolewa kwa wahalifu binafsi Tanzania.
Ingefaa taarifa hiyo itolewe tamko la kukanusha au kukubali, vinginevyo nchi itakuwa imedhalilishwa. taarifa hizo zinapatikana duniani kote.