Naomba kufahamu utaratibu wa kusafirisha/kuuza mahindi nje nchi
Kama wameruhusuMtauza wapi sasa kama hapo kwa Kenyatta pashanyewa na ndipo soko lilikuwa freshi.
Naomba kufahamu utaratibu wa kusafirisha/kuuza mahindi nje nchi
imeruhusiwaSi nilimskia Sumry akisema serikali imekatza ku-export mahindi mkuu. Au wamesharuhusu...?
Lini wameruhusu?imeruhusiwa
Mm huku najua yanapo patikana mahindi ukipata soko nitafuteNaomba kufahamu utaratibu wa kusafirisha/kuuza mahindi nje nchi