Msaada ku-upload picha kwenye FB

Inside10

JF-Expert Member
May 20, 2011
26,060
23,940
Wadau mimi natumia nokia x2, na nimedownload operamini 6.5 ambayo ndio natumia kwenye intaneti sasa tatizo linakuja kwenye ku-upload picha ambapo net huwa ina-load bila mafanikio yoyote. Nawasilisha na naomba msaada wenu.

Pia kwenye link nzuri itakayoniwezesha ku'install UCBROWSER naomba anisaidie.
 
Facebook za kwenye opera mini huwa zinazingua kuapload picha. Download facebook kutoka ovi store afu ndo uwe unatumia kuapload.
 
Kwenye simu opera mini 6.5 ndio the latest version, so we nenda nayo taratibu tu itakubali, usiwe na haraka ya kuapload picha za matukio, mwenyew natumia hyo na mambo inaenda musuri tuuuuuuu
 
wadau mimi natumia nokia x2, na nimedownload operamini 6.5 ambayo ndio natumia kwenye intaneti sasa tatizo linakuja kwenye ku'upload picha ambapo net huwa ina'load bila mafanikio yoyote. Nawasilisha na naomba msaada wenu.

Pia kwenye link nzuri itakayoniwezesha ku'install UCBROWSER naomba anisaidie.

Mbona opera ya X2 built in inafanya hiyo kazi poa kabisa hakuna hata haja ya kuongeza app nyingine
 
Back
Top Bottom