Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 63,592
- 112,646
Good morning jf....
Mi nasumbuliwa sana na kichwa, ni muda mrefu sasa kinaniuma, yani siku ninazo kaa bila kuumwa zinahesabika, hospital nishaenda nikipima sina shida yoyote, pain killers nishakunywa sana naona nmechoka sahivi kikiuma nalala tu.
Kuna siku naamka usingizini kichwa kinaniuma, nikikaa sehemu yenye hewa ndogo naumwa kichwa,nikihisi njaa kinauma, nikitembea juani naumwa, naweza kuwa na shida gani? Tiba yake ni nini?