Msaada: Kutuma MMS

zeromagic

Senior Member
Sep 14, 2016
186
67
wakuu,
msaada kuhusu configuration za mms za voda, nahitaji kutuma mms kwa mtu.

nmejaribu kupiga huduma kwa wateja lakini hawapokei simu. nikajaribu kutuma sms ya neno mms kwenda 15300 lakini situmiwi configurations
 
Unatuma file aina gani?
 
sina file lolote.
nataka config. niziandike manually
Wapigie watapokea tu,

Nikajua unashida ya kutuma files ,nikataka nikushaur tu uachane na mms,now days means zipo kibao tena advanced.
 
wakuu,
msaada kuhusu configuration za mms za voda, nahitaji kutuma mms kwa mtu.

nmejaribu kupiga huduma kwa wateja lakini hawapokei simu. nikajaribu kutuma sms ya neno mms kwenda 15300 lakini situmiwi configurations
kwenye setting yako ya internet kwenye MMS APN andika neno MMS then test kutumia
 
I guess hamna mtandao unafanya MMS tena Bongo!

Mm kuna mda huwa naandika message inafika 1KB tena ndo ukiweka Emoji fasta 1KB inafika kwa maneno machache tu,Ukibonyeza Send haiendi inabaki tu ina Load

Ila Vodacom nkiweka sim card wana set hivi ila nahisi hizi ni settings za zamani tena haziko valid wawezza jaribu au uka eliminate hiyo part ya MMSC
Screenshot_20161014-103738.png

Screenshot_20161014-103751.png
 
Wapigie watapokea tu,

Nikajua unashida ya kutuma files ,nikataka nikushaur tu uachane na mms,now days means zipo kibao tena advanced.
kuna hii kampun ya kichna nilikua nataka ajira, nina namba zao. wamenambia nitume copy za vyet kwa mms. wao wanasema ni rahs kwao kufanya analyss ya vyet vya waliomba ajira haraka kama wote tukitumia mms.
means nyingne hawajanipa
 
I guess hamna mtandao unafanya MMS tena Bongo!

Mm kuna mda huwa naandika message inafika 1KB tena ndo ukiweka Emoji fasta 1KB inafika kwa maneno machache tu,Ukibonyeza Send haiendi inabaki tu ina Load

Ila Vodacom nkiweka sim card wana set hivi ila nahisi hizi ni settings za zamani tena haziko valid wawezza jaribu au uka eliminate hiyo part ya MMSC
View attachment 417863

View attachment 417864
asante
bas itakua mms wameiondoa
hata mm haziend
 
Sijajaribu kwa sasa ila nilichokua nafahamu tangu kuingia kwa hivi vifutushi vya bando ilianza mms kugoma ilikua mtu unaweka pesa kwenye salio la kawaida ukitima mms inatoka na inakata pesa ilikua haikubali kutumia bando la internet la kifurushi labda jaribu hivyo na hakikusha simu yako umewezesha kutumia internet bila bando kama ulizima hiyo huduma rudisha weka kama mia 500 kwenye salio la kawaida tuma mms
 
Wanachonikera mimi, ukiweka ushairi mrefuuuuu kwenye meseji hauend unaload tu mzee had kero
Hilo ni Tatizo la simu mkuu sio mtandao,

Kwa wenzetu nchi za magharibi gharama za simu ni kubwa sana hivyo msg ikiwa ndefu wanaibadili kuwa Mms ili ikusaidie gharama,

Kibongo bongo msg rahisi sana hatuhitaji Hilo hivyo inatukera.

Kuondoa hii kero nenda setting za msg utakuta option ya ku convert long msg kuwa Mms, untick na haitafanya hivyo tena.
 
Dah

Dah ngoja niende, thanks man
 
Dah mwanangu nimeenda settings sijaona hiyo option ila nimejaribu kutumia messenger imekubali, nimetuma story ndefu kinoma imeenda. Kweli hii ni shida ya sms app ya simu sio mtandao. Thanks a lot.
 
wakuu,
msaada kuhusu configuration za mms za voda, nahitaji kutuma mms kwa mtu.

nmejaribu kupiga huduma kwa wateja lakini hawapokei simu. nikajaribu kutuma sms ya neno mms kwenda 15300 lakini situmiwi configurations
Jaribu kutumia mesenger app ya Facebook mkuu
 
Back
Top Bottom