Msaada: Kutokea kwa mistari kwenye screen ya LG Smart TV

etum

Member
Feb 18, 2014
70
51
Habari

Natumia lg smart tv uhd651V lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona vijimstari kwa mbali kwenye screen hasa napokuwa naangalia mpira.

Mwanzo nilidhan labda niscratches nikajaribu kupangusa kwa kitambaa bila mafanikio. Hii inamaana kwamba hii tv imekuwa damaged au?
 
Attachments

  • tmp-cam-1089341496.jpg
    tmp-cam-1089341496.jpg
    35.6 KB · Views: 128
ipeleke Tv Kwenye Maombi, haiwezekani mistari itoke hadi nje ya tv yaani mpaka kwenye kitambaa
 
Haa haa hapana nimefanya tu ku highlight! (Kwa kutumia red line)
 
duh. I had a same problem with my samsung smart tv, niliwapelekea agent wao wa service pale Dar Jmall wakaniambia gharama za kubadilisha board was close to buying a new one.
Andaa bajeti nyingine mkuu
 
kama ni hivyo vimistari kwa mbali, hizo ni pixel tu mkuu, unapoangalia kitu chenye resolution ndogo na tv yako ina resolution kubwa hutokea.

mfano hio chanell ya mpira ni 640x360 wakati tv yako ni full HD 1920x1080 tegemea vitu kama hivyo.

tafuta movie ya HD au full HD eka kwenye flash then play uangalie kama litatokea hilo tatizo.
 
Kweli chief mkwawa hii inaweza kuwa kweli kwa sababu nikiangalia movies au kitu kingine tofauti na mpira hii mistari haionekani kabisa. Many Thanks for your observation man
 
Habari

Natumia lg smart tv uhd651V lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona vijimstari kwa mbali kwenye screen hasa napokuwa naangalia mpira.

Mwanzo nilidhan labda niscratches nikajaribu kupangusa kwa kitambaa bila mafanikio. Hii inamaana kwamba hii tv imekuwa damaged au?
Hizo ni craks kwenye kioo n.a. zikiendelea hutaona picha kabisa. so andaa sio chini ya 350k kubadili kioo
 
Habari

Natumia lg smart tv uhd651V lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona vijimstari kwa mbali kwenye screen hasa napokuwa naangalia mpira.

Mwanzo nilidhan labda niscratches nikajaribu kupangusa kwa kitambaa bila mafanikio. Hii inamaana kwamba hii tv imekuwa damaged au?
Mwenye akili aotee nani na nani walikuwa wanacheza hapo.
 
Habari

Natumia lg smart tv uhd651V lakini siku za hivi karibuni nimekuwa nikiona vijimstari kwa mbali kwenye screen hasa napokuwa naangalia mpira.

Mwanzo nilidhan labda niscratches nikajaribu kupangusa kwa kitambaa bila mafanikio. Hii inamaana kwamba hii tv imekuwa damaged au?
Mkuu Naomba uniambie hiyo Smart LG kwa uzoefu wako unaionaje? Vipi Kuhusu internet inakubali? Unaweza kuingia youtube? Nauliza kwa kuwa natamani kuwa na hiyo aina ila naogopa kuingia mkenge na usawa huu wa vyuma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom