Msaada::kutibu Vidonda sehemu ya haja kubwa.

Tabalo

JF-Expert Member
Feb 10, 2013
287
69
Habari za asubuhi wana jf wenzangu,ninahitaji msaada jamani kwani nimepta vidonda vidogodogo sehemu ya haja kubwa vinanitesa sana hasa wakati wa kutembea na kwenda msalani.
Msaada wenu jamani unahitajika haraka sana tafadhalii
 
Kwani unapata homa?
Je unahitaji dawa za asil au kizungu?
 
Homa sina hata kidogo. Dawa yoyote inayopatikana kwa urahisi nipe.ila hata ukinitajia zote nitashukuru pia.
 
kama ni vidonda vya kutokana na kupata choo ngumu (constipation) jikande na maji ya moto utapata nafuu na utapona
 
nashukuru kaka kwa kunitajia jina la dawa.

kuna uwezekano mkubwa sana kwamba bwanamdogo umepata herpes (viral) infection, cipro haitakusaidia kamwe. funguka upate ushauri utakaofaa, sio kukymbilia dawa tu.
then, naomba wengine humu ndani tusiwapoteze watu kwa kuwa - prescribe dawa wakati tatizo hatulijui,, tuheshimu kazi za watu.
mwisho, nakushauri uende hospitali ili ukutane na wataalam watakao kusiikiliza kukuangalia na kukupima.. kalaghabao
 
yaani sijui hata sababu pengine nahisi labda maji nayokunywa kwani nanunua sana madukani maji ya chupa ingawa nasika si salama sana hasa kwa mji huu wa dar.
 
Back
Top Bottom