Habari za asubuhi wana jf wenzangu,ninahitaji msaada jamani kwani nimepta vidonda vidogodogo sehemu ya haja kubwa vinanitesa sana hasa wakati wa kutembea na kwenda msalani.
Msaada wenu jamani unahitajika haraka sana tafadhalii
Homa sina hata kidogo. Dawa yoyote inayopatikana kwa urahisi nipe.ila hata ukinitajia zote nitashukuru pia.
Unapatikana wapi? Umeshaenda hospitali?
meza vidonge aina ya antbiotics hasa cipronipo dar.hospital bado sijaenda ndo maana naomba ushauri kwa madaktari wa jf.
meza vidonge aina ya antbiotics hasa cipro
nipo dar.hospital bado sijaenda ndo maana naomba ushauri kwa madaktari wa jf.
hivyo vidonda vimetokea vyenyewe tu ama umeumia?
meza vidonge aina ya antbiotics hasa cipro
nashukuru kaka kwa kunitajia jina la dawa.
kuna uwezekano mkubwa sana kwamba bwanamdogo umepata herpes (viral) infection, cipro haitakusaidia kamwe. funguka upate ushauri utakaofaa, sio kukymbilia dawa tu.
then, naomba wengine humu ndani tusiwapoteze watu kwa kuwa - prescribe dawa wakati tatizo hatulijui,, tuheshimu kazi za watu.
mwisho, nakushauri uende hospitali ili ukutane na wataalam watakao kusiikiliza kukuangalia na kukupima.. kalaghabao