Nafikiri angalia kwenye website yao, japo sina hakika kama wanatoa pia certificate ya sheriaJaman msaada kwa anaejua namna ya kujiunga na kusoma online(distance learning) katika chuo kikuu huria,kozi ya sheria ngazi ya cheti
matokeo ni dv-4(28points)ENG -C,GEO- C,HST- D,KIS D,CIV- D,BIO -F,MATH- F.
Msaada na ushauri unapokelewa kwa heshima zote.