Msaada kupata software za hacking, Coding, na Antivirus

yaani mkuu na code kabisa..sasa wewe utakuwa umefanya nini..
kama upo arusha nichek ila code hapana
 
Unafanyaje ku-hack? Coding ni nini?
Sasa mkuu wangu unaniuliza tena badala ya kunichimbia madini!?!!

Naomba unipatie ulichonacho Au unachokifahamu kati ya hivyo nilivyoomba.

Nipatie links, apps, tovuti, au S/Ws.

"Akuombaye mpe, Naye atakaye kukopa kwako; Usimpe kisogo".
 
Back
Top Bottom