Msaada kupata connection kazi viwandani.

kancher

JF-Expert Member
Dec 19, 2015
463
461
Husika na kichwa cha habari apo juu, mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 23. Ninaishi dar kwa kujitegemea nikiwa pamoja na mdogoangu mwenye umri wa miaka 18. Elimu yangu ni form four na nina certificate of custom and tax management from (ITA) ISTUTE OF TAX ADMISTRATION. Ninauzoefu katika ufanyaji kazi mbalimbali.

Hivyo naleta ombi la kupata msaada wa kazi au connection kutoka kwa mdau yeyote humu jamvini mimi pamoja na mdogo angu.
Nipo teyali kwa kaz yeyote tofauti na niliyotaja apo juu.
Asanten.
Mawasiliano yangu ni: 0769166524
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom