Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

Waafrika wengi kwenye swala la kujamiana wanaweza sana na wamebarikiwa kuwa na nguvu za kipekee tofauti na watu wa Ulaya na mabara mengine, ndomaana mwanamke wa kizungu akilala la Mwanaume wa kiafrika hua lazima anogewe na atake tena na tena.
Tatizo ni wanaume wachache wakiafrika wenye uwezo wa kugundua hilo na kujitunza ama kujiendeleza ili wasipoteze zawadi waliyotunukiwa.
Kwa hiyo Trump hakukosea aliposema kwamba Waafrika tunaweza ngono tu, uvivu, maneno mengi na kuzaana? Shikamoo Trump!
 
Nawasalimu wana JamiiForums wote, habari zenu. Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 20, ninahisi uume wangu ni mdogo na mfupi tofauti na vijana wengine niliowaona pia masterbation nimepiga sana lakini sijui kama nayo ina changia.

Naombeni msaada wenu niongeze unene na ukubwa wa uume wangu.
 
Nawasalim wana jamii forum wote,habari zenu.
Mimi ni kijana wa kiume wa miaka 20,ninahisi uume wangu ni mdogo na mfupi tofauti na vijana wengine niliowaona pia masterbation nimepiga sana lakini sijui kama nayo ina changia...naombeni msaada wenu niongeze unene na ukubwa wa uume wangu
Kwani ukisimama ni inch ngapi Mkuu tukuambie/kushauri tuanzie hapo pia si mbaya utuangushie na katipicha kidogo
 
In reality kuna waliofanikiwa kuongeza. Kuna makabila hiongeza kienyeji kwa kutumia tiba ya asili. Wasukuma, Wamasai na Wakurya. Nenda vijijini kwao kabisa ongea na wale wazee wa mila utapata msaada.

Unaweza nenda Manyara ukadadisi wapi kuna mila za kimasai zilizo imara, nenda huko onana na vijana wakupeleke kwa wazee maana wana taratibu zao. Achana na hawa wa mjini ujanja mwingi.
 
mnataka kuongeza yawe makubwa kwani nani kakwambia kuwa wanataka hiyo mibomba.cha muhimu jua jinsi ya kutumia siraha yako
 
mornie brother.

pole sana kwa hali hiyo, but changamoto uliyo nayo ni hii.

1. uume umepungua size kwa sababu ya punyeto, hapa urefu na wembamba wa uume lazima uuhusike kama kweli ulikuwa hodari katika punyeto.

2. nguvu za kiume zimepungua kutokana na kuharibu misuli ya uume, hivyo uume huenda ukawa unasimama legelege.

USHAURI.
Anza tiba ya kurejesha uume katika hali ya awali yaan size na nguvu kwa kutumia tiba asilia.

kisha waweza ongeza size ya uume lakini lazima uanze na hilo la juu kwanza huo ndio utaratibu wa tiba asilia wala asikuongopee mtu mwingine.

 
In reality kuna waliofanikiwa kuongeza. Kuna makabila hiongeza kienyeji kwa kutumia tiba ya asili. Wasukuma, Wamasai na Wakurya. Nenda vijijini kwao kabisa ongea na wale wazee wa mila utapata msaada.

Unaweza nenda Manyara ukadadisi wapi kuna mila za kimasai zilizo imara, nenda huko onana na vijana wakupeleke kwa wazee maana wana taratibu zao. Achana na hawa wa mjini ujanja mwingi.
Nashukuru mkuu
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom