Kanuni 10 za kufuata kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

elite wa Geita

Senior Member
Jul 25, 2016
157
183
Ukubwa wa uume unategemea vitu kama kiwango cha mhemuko, muda, hali ya hewa na unashiriki tendo la ndoa mara ngapi.

Si wanawake pekee ambao huwa bize kuona wanakuwa na maumbile mazuri na kwamba wanakuwa ni wenye kuvutia muda wote. Ni kawaida kukuta chumbani kwa mwanamke vipodozi vingi vya kila namna na ukakuta mafuta ya aina moja tu kwenye chumba cha mwanaume.

Wapo wanaume wachache sana ambao wamebarikiwa kuwa na uume mkubwa kwa asili. Aina ya maisha unayoamua kuishi yanaweza kuathiri ukubwa na uimara wa uume wako. Kwahiyo ikiwa una shaka kidogo juu ya ukubwa wa uume wako fanya mambo 10 yafuatayo kuongeza ukubwa wa uume kwa asili.

Mwanamke yeye huwa na uke wenye urefu wa inch 4 ingawa unaweza kuongezeka ukubwa kutegemea na namna anavyoandaliwa au mwanaume mwenyewe alivyo.

Kwa watu wazima, wastani wa ukubwa wa uume uliosimama ni kati ya inch 3.9 mpaka 5.8. Wapo pia wanaume wachache ambao kwa asili wana uume wa ukubwa wa inch 7 au 8.

Uume unachukuliwa kuwa mdogo ikiwa uko chini ya inch 4 ukiwa umesimama. Usiwaze ukubwa wa uume ukiwa umelala. Kuna wanaume wa aina mbili, kuna wale ambao uume ukiwa umelala huonekana ni mkubwa lakini uume utakaposimama hauwi mkubwa sana na kuna wale ambao uume ukiwa umelala uume wao unaonekana ni mdogo sana na ndiyo hao ukisimama unakuwa mkubwa zaidi hata ya wale ambao ukiwa umelala unaonekana ni mkubwa. Hivyo ukiona uume wako umelala na unaonekana ni mdogo sana usiwaze, ni hali ya kawaida, unatakiwa uwaze ukiwa umesimama kabisa.

Kanuni mhimu 10 ili kuongeza ukubwa wa uume kwa asili

1. Acha kuvuta sigara

Moshi na kemikali za kwenye sigara hujirundika kwenye mishipa ya damu (ateri). Hii ndiyo sababu uvutaji sigara una uhusiano mkubwa na ugonjwa wa moyo. Usambazwaji mdogo wa damu kwenye ogani hizo mwilini husababisha ufanyaji kazi wa chini ya kiwango wa ogani husika. Kumbuka uume umeundwa kwa mishipa mitupu ya damu, hakuna mfupa kwenye uume. Kama damu haitembei kwa uhuru wote katika ogani kadhaa mwilini na kwenye mishipa ya damu kwa ujumla uume wako nao unaweza kuathirika ukubwa wake.

2. Fanya mazoezi ya viungo mara nyingi

Kutengeneza mishipa na kupunguza uzito isiwe ndiyo sababu pekee ya kwenda gym. Kama unahitaji uume wenye afya au uume mrefu, unahitaji kujishughulisha na mazoezi ya viungo mara kwa mara ili kusafisha mishipa ya damu na hivyo kuongeza kiasi cha utiririkaji wa damu kwenda kwenye uume.

Kama uzito wako upo juu sana na ni mnene fanya mazoezi ya kukimbia (jogging) kila siku kwa mwezi mmoja mpaka miwili. Kama uzito wako upo sahihi tu kwa mjibu wa urefu wako fanya sana mazoezi ya kuchuchumaa na kusimama. Una chuchumaa na kusimama mara 25 mpaka 30, unaweza kupumzika dakika mbili unaendelea tena kuchuchumaa na kusimama hivyo hivyo unapumzika dakika 2 mpaka mizunguko (round) 5 kila siku.

3. Epuka vyakula vyenye mafuta sana

Kula kwa wingi vyakula vyenye mafuta sana hupelekea kuongezeka kwa uzito na unene na matokeo yake unaweza kupatwa na magonjwa ya moyo na kupungua kwa ukubwa wa uume. Kutokutenga muda kwa ajili ya mazoezi huongeza kolesto katika ateri za damu na kupelekea kupungua kwa msukumo wa damu kwenda kwenye uume. Kwahiyo acha kula kula vyakula feki (junk foods) ili uwe na uume wenye afya ya kutosha.

4. Kula sana matunda na mboga za majani

Kula sana mboga za majani na matunda yenye sifa kubwa ya kuondoa sumu na taka mwilini. Mazoea haya husaidia mwili kupigana na vijidudu nyemelezi na kuongeza afya katika ateri za damu. Kwahiyo unaweza kuongeza kimo cha uume wako kwa kuamua kula mboga majani na matunda ili kuondoa sumu na taka nyingine zisizotakiwa mwilini.

5. Ondoa kitambi

Kuwa na kitambi au tumbo kubwa ni sababu inayofanya uume uonekane ni mdogo. Hata kama una uume mkubwa kwa asili ukianza tu kufuga kitambi uume utaanza kuonekana ni mdogo. Kuondoa kitambi soma dondoo namba 2 hapo juu au kama umefanya kila jitihada kuondoa kitambi na umeshindwa nitafute WhatsApp +255769142586.

6. Punguza mawazo

Hamaki na mawazo mengi (stress) hupunguza ukubwa wa uume kwani mawazo hasi au stress inapozidi na kudumu kwa muda mrefu huondoa damu kutoka kwenye uume na kupelekea ugumu kwa ukuaji wake. Pia woga au wasiwasi wa kutokumfikisha mwenza wako unapodumu muda mrefu ni sababu ya kuwa na uume mdogo.

7. Oga maji ya moto

Hali ya ubaridi sana hupelekea kupungua kwa ukubwa wa uume, kwahiyo kama unaishi sehemu yenye baridi sana jitahidi uwe unaoga maji ya moto kila mara au muda mchache kabla ya kwenda kushiriki tendo la ndoa ili kuuweka mwili wako ni wa moto ili kuongeza msukumo wa damu mwilini na kwenye uume kwa ujumla.

8. Shiriki tendo la ndoa mara nyingi

Kuna stori zinasema twiga hakuzaliwa na shingo ndefu namna hii kama anavyoonekana akiwa mkubwa, bali wanasema ile tabia yake ya kupenda kula majani ya juu ya miti ndiyo ikapelekea shingo yake ikarefuka!. Inawezekana kuna ukweli kidogo wa stori hizi. Usinielewe vibaya wala usije ukasema huyu jamaa anahamasisha watu kufanya mapenzi! Hapana usiwe na haraka hivyo utanielewa tu ninachotaka kusema

Wanasayansi wa masuala ya mapenzi wanasema ikiwa mtu mzima hana msongo wowote wa mawazo (stress), ana afya nzuri tu ya kutosha na anakula vizuri basi anaweza kushiriki tendo la tendo kila baada ya masaa 24. Angalia na umsome pia mwenza wako pia angalia umri wako, sababu kuna wanawake wengine kwa asili hawapendi kushiriki tendo la ndoa kila mara pia hatuwezi kusema mtu mwenye miaka 50 atakuwa na uwezo wa kushiriki tendo la ndoa kila mara kama mtu wa miaka 18 hadi 40 hivi.

Ni vigumu mtu anakaa mwenzi mzima mwingine miezi miwili mwingine anakaa miezi 6 bila kushiriki tendo la ndoa na utegemee utakuwa na uume mzuri na wenye afya. Kama hushiriki tendo la ndoa kuna uwezekano mkubwa ukawa unapiga punyeto kitendo ambacho ni kibaya zaidi kwa afya ya uume wako. Kwahiyo unaweza kushiriki mara 2 hadi 3 kwa wiki na unaposhiriki tuliza akili na upate muda wa kutosha siyo haraka haraka tu (short time).

9. Tafuta wa saizi yako

Ni ukweli uliowazi kwamba kamwe hatuwezi kuwa sawa kwa kila kitu. Kuna msemo wa wahenga pia unasema waacheni wafu wawazike wafu wenzao, kadharika hata katika suala hili la tendo la ndoa mwanaume ifike wakati uamini kwamba kuna wanawake wengine si saizi yako, wapo wanaume kwa ajili yao. Hivyo jiangalie mwenyewe na umtafute mwenza ambaye anaendana na wewe.

Wakati mwingine unaweza kupata mwenza ambaye ni saizi yako lakini sababu ya mabadiliko ya kimwili na kihomoni inatokea naye anakuwa anakuzidi, ikikutokea hivi usimwache, njoo uonane na mimi zipo dawa za asili maalumu zinazoweza kurudisha uke katika umbo dogo na unaobana vizuri kama mwanzo. Au utaona aibu tena! Kuna namna ya kuongea naye.

10. Tumia mitishamba ambayo haina madhara

Ndiyo mitishamba, kuna baadhi ya mitishamba inayoweza kurekebisha mzunguko na msukumo wa damu yako na hatimaye kuongeza ukubwa wa uume. Uwe makini sana hapa kwani unaweza kusababisha hatari zaidi hapo baadaye ukienda kwa pupa. Usitumie dawa zinazoahidi kukuongezea urefu au ukubwa sana wa uume bila kujuwa nini madhara yake hapo baadaye, epuka pia dawa zenye kamikali kwa ajili hiyo.

Jambo la mhimu

Badala ya kuwa bize na ukubwa wa uume wako, jitahidi kutafuta G-spot ili uweze kumchezea mwenza wako katika maeneo yanayomsisimua zaidi. Kumchezea mwenza wako ni muhimu sana ili aweze kufikia kileleni mapema.

Kuna mwingine anaweza kusema huyu jamaa naye vipi na hizi habari za ukubwa wa uume? Na ukaanza kunishangaa. Mimi naandika chochote ninachoona kinaweza kuwa msaada kwa msomaji wangu, inawezekana wewe una msumari wa inch 6 na unaposikia habari kama hizi unaanza kushangaa na kudhani kama ni jambo lisilotakiwa kuzungumzwa.

Pole sana ndugu, hapa chini ya jua kila mtu ana shida zake na shida yako haifanani na yangu wala shida yangu haifanani na yako, mimi naweza kuwa nina uhitaji wa 10000 na wewe ukawa na uhitaji wa 100,000 zote hizi ni shida na zinahitaji ufumbuzi. Kwahiyo wapo wanaume wenye uume mdogo kweli mtu ana uume wa inch tatu mwingine inch 4 je mtu kama huyu tunamsaidiaje kama tutasema hili jambo siyo la kuzungumziwa?

Kwahiyo kila shida lazima iwe na mtu anayeweza kuisuluhisha kwa ajili ya wengine, mtu asiye na aibu kwa ajili ya wengine. Na wala usilete dharau kwenye hicho kiungo, mimi na wewe tupo hapa kama matokeo ya mahusiano hivyo ni kusema bila mahusiano kusingekuwa na hii dunia na mambo madogo madogo kama haya ndiyo yanaleta mivurugano kwenye mahusiano mengi.

Na mwanaume huwezi kuwa na nguvu za kufanya kazi kwa bidii ikiwa kuna makelele kwenye mahusiano yako. Ukitaka uone uume nao ni kiungo mhimu ngoja uuguwe ugonjwa wowote wa zinaa na utokwe na maji mazito mara moja utachanganyikiwa na kumtafuta daktari kokote aliko!
 
kila kitu duniani kina faida na hasara,chochote kinachoongezwa au kupunguzwa kwenye mwili wa binadamu lazima kitaleta maadhara baada ya muda fulani.

Jikubali ulivyo umbwa-coz sio mapenzi na maamuzi yako kuwa hivyo ni kama mtoto aliyezaliwa na kujikuta yupo kwenye utawala wa magufuli afu aanze kuuliza kwa nini sikuzaliwa USA kwenye utawala wa Obama
 
Tumia milking method kila siku kwa miezi mitatu mfululizo. Hii ni njia ambayo unatakiwa uwe na maji ya vuguvugu na kitambaa. Kwanza utakuwa km unakanda uume kwa maji nayo na kisha baada ya dk 5 za kukanda utaanza zoezi

Zoezi Hilo ni kuvuta uume kutoka shina kuja kwenye kichwa taratibu kwa dk 25-30 kwa siku, hapo unaweza kugawanya dk 10 asubuhi 10 mchana na 10 jioni. Au unaweza kufanya jioni kabla ya kulala kwa dk zote at once Unapovuta mkono mmoja ushike shina vizuri na mwingine uvute km unakamua maziwa vile

Zoezi Hilo likifanyika kwa umakini mkubwa huongeza urefu na unene wa uume wako. Pia zoezi Hilo unaweza kulifanya wakati wa kuoga. Pia unaweza kutumia mafuta kulainisha uume na kupunguza msuguano (friction) kati ya mkono na uume.

Angalizo: Hukamati uume kwa mkono wote Bali kidole gumba na kidole kinachofuatia ndio hutumika kuubana uume sawasawa wakati wa zoezi usilegeze sana au kubana sana.
 
kwamtoro,
Samahani mkuu unajichua kwa kipind gani na kiasi gani cha hayo mafuta unajichua kwa mara moja? coz kuna best yangu ameathirika kisaikolojia kutokana na hilo tatizo
 
samahan mkuu unajichua kwa kipind gan na kias gan cha hayo mafuta unajichua kwa mara moja? coz kuna best yang ameathirika kisaikolojia kutokana na hilo tatizo
Mafuta yanauzwa kwenye vichupa vidogo sana kwenye maduka ya kisuna, Unamimina kwenye mkono kiasi dhen unafanya masaji kwa kuvuta uume kwenda mbele, Kwa dk kumi na tano kwa asubuhi na jioni zinatosha au ukipenda mwenyewe utafanya kwa muda unao taka mwenyewe.

Unajichua mpaka hivyo vichupa viishe 3 then kana utakuwa ujafika kiwango chako unanunua tena, Kichupa kimoja kinauzwa elfu moja that time sijui kwa sasa.
 
Mkuu sululisho la shida yako sasa imetatuliwa, tena bila ya chaji yeyote.
Kusaidiana sisi wana wa adamu ni muhimu tena ni baraka sana,

Mimi ilikuwa ikisimama inafika inchi tatu, sasa nimeboost mpaka inchi saba,
Nenda kwenye maduka ya kisuna kanunue mafuta ya tembo vichupa 3,

Then jichue asubuhi na usiku,
Kwa bahati mbaya nimepoteza namba ya masai moja ambaye dawa yake inakuza na kunenepesha,
Zamani nilikuwa nadharauriwa sana, baada ya kufanya hivyo sasa mambo mukide
Ukweli ni kwamba hamna mwanamke anayependa dushe dogo, asikudanganye mtu,

Coz k nyingine ni pana mno na nyingine zimeenda sana kwa ndani (shimo refu)
Nchi tatu duuh. Hongera kwa hiyo sasa hivi upo kundi la ndizi mshare kutoka kibamia au kinyanya chungu
 
Mafuta yanauzwa kwenye vichupa vidogo sana kwenye maduka ya kisuna,
Unamimina kwenye mkono kiasi dhen unafanya masaji kwa kuvuta uume kwenda mbele,
Kwa dk kumi na tano kwa asubuhi na jioni zinatosha au ukipenda mwenyewe utafanya kwa muda unao taka mwenyewe
Unajichua mpaka hivyo vichupa viishe 3 then kana utakuwa ujafika kiwango chako unanunua tena,
Kichupa kimoja kinauzwa elfu moja that time sijui kwa sasa
Hio sini punyeto.?
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom