Msaada kuongeza RAM kwenye PC

Nizzoh824

JF-Expert Member
Apr 27, 2016
239
137
Habari za muda huu wakuu!

Nilikua nahitaji niongeze RAM kwenye PC ya HP Pavilion yenye 2GB Ram, sio mtalaam wasiwasi wangu je inaweza ongeza uchapaji kazi au itakua kazi bure?
 
Check maximum support ya hiyo pc, then uongeze sawa na uwezo wa pc ku handle.
Ukiweka kubwa na kupita size inayotakiwa, ni kazi bure
 
Check maximum support ya hiyo pc, then uongeze sawa na uwezo wa pc ku handle.
Ukiweka kubwa na kupita size inayotakiwa, ni kazi bure
Asante sana mkuu
Ila sijajua naangaliaje hiyo maxmum support msaada tafadhari
 
Habari za muda huu wakuu!

Nilikua nahitaji niongeze RAM kwenye PC ya HP Pavilion yenye 2GB Ram, sio mtalaam wasiwasi wangu je inaweza ongeza uchapaji kazi au itakua kazi bure
Unaweza Upgrade kufika ata 8 ukipenda lakin kwanza tujue hiyo pc core i? Au zile Intel inside?
 
Wakuu naweza wapi Kupata wapi, hizi betri za AAAA za Microsoft surface pen.
images%20(2).jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom