Msaada: Kuongeza channel katika king'amuzi

relis

JF-Expert Member
May 24, 2015
3,187
4,762
Samahani wakuu kutokana na ugumu wa maisha hasa malipo ya hivi visimbuzi nikaamua kujikwamua wa kununua LED tv ambayo ina kareceiver kwenye uwezo wa kupata baadhi ya digital channel za nyumbani baadhi na nje zisizozidi 10 na channel nyingine hazioneshi,

Msaada kutoka kwenu, Je hakuna namna ninayoweza Fanya walau nikaweza kuongeza free channel nyingine nikaenjoy?
 
Samahani wakuu kutokana na ugumu wa maisha hasa malipo ya hivi visimbuzi nikaamua kujikwamua wa kununua LED tv ambayo ina kareceiver kwenye uwezo wa kupata baadhi ya digital channel za nyumbani baadhi na nje zisizozidi 10 na channel nyingine hazioneshi,msaada kutoka kwenu je hakuna namna ninayoweza Fanya walau nikaweza kuongeza free channel nyingine nikaenjoy?
Hakun mkuu. Unapata ITV, EATV, CAPITAL, STARTV, AFRICA SWAHILI, PROIN, CITZEN, EMMANUEL TV, ALJAZEERA, NHK, ARIRANG, SAUDI 2, ARISE AND SHINE, LIVING WATER, CHANNEL TEN, DUBAI SPORT 2, na iFilm
Zilizobaki ziko scrambled walizifungia zamani ulikuwa wapata package yote ya continental
 
Sasa mkuu haiwezekani kupata freequncy walau nikasearch zikaongezeka au inakuwa haiwezekani?
 
Samahani wakuu kutokana na ugumu wa maisha hasa malipo ya hivi visimbuzi nikaamua kujikwamua wa kununua LED tv ambayo ina kareceiver kwenye uwezo wa kupata baadhi ya digital channel za nyumbani baadhi na nje zisizozidi 10 na channel nyingine hazioneshi,msaada kutoka kwenu je hakuna namna ninayoweza Fanya walau nikaweza kuongeza free channel nyingine nikaenjoy?
Mkuu unatumia antenna au dish? tv yako ni aina gani? (samsung, sony au lg?) nahitaji kufanya uamuzi kama wako
 
Antenna ya kawaida mkuu,Samsung inch 32 model 4100 made in Pakistan Sema sijajua kama na model nyingine zinasupport hili.
 
Vp mkuu hiyo ya kwako inashika channel TV1 ya kwangu ni Samsung kama ya kwako inashika channel zote za free kasoro tv1.Niko Arusha.
 
Nimejaribu sana auto search lkn imegoma we unatumia antenna ya aina gani maana mi natumia ile ndogo ya Startimes.
 
Hakun mkuu. Unapata ITV, EATV, CAPITAL, STARTV, AFRICA SWAHILI, PROIN, CITZEN, EMMANUEL TV, ALJAZEERA, NHK, ARIRANG, SAUDI 2, ARISE AND SHINE, LIVING WATER, CHANNEL TEN, DUBAI SPORT 2, na iFilm
Zilizobaki ziko scrambled walizifungia zamani ulikuwa wapata package yote ya continental
mkuu mimi natumia king'amuzi cha startimes chenye ufito wa njano,napata tbc,tv1 na zbc tu,msaada plz
 
Mkuu hizo channel tunaongelea LED tv zenye kingamuzi ndani yani wewe wafanya kuchomeka waya wa antena kwenye screen na ku auto search
 
Hakun mkuu. Unapata ITV, EATV, CAPITAL, STARTV, AFRICA SWAHILI, PROIN, CITZEN, EMMANUEL TV, ALJAZEERA, NHK, ARIRANG, SAUDI 2, ARISE AND SHINE, LIVING WATER, CHANNEL TEN, DUBAI SPORT 2, na iFilm
Zilizobaki ziko scrambled walizifungia zamani ulikuwa wapata package yote ya continental
Nisaidie unazipatia wapi mm Nina qsat28
 
Back
Top Bottom