Msaada kuondoa Hichi Kiduara

Gushleviv

JF-Expert Member
Mar 14, 2011
3,437
5,146
Habari wadau..yeyote anaeweza kunisaidia kutoa hicho kiduara kwenye simu yangu , kinatokea kila ninapotap. Simu ni SamsungA01.
cc Chief-Mkwawa

Screenshot_20210118-173632_Chrome.jpg
 
Imekaa kama Accessibility setting hivi zile za walemavu.

Nenda setting Kisha accessibility kisha something interaction ama assist menu, angalia humu ndani somewhere Uta switch off
Ngoja nicheki hiyo option
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom